au aangalie kwenye email yakeUnakumbuka swali ulilotengeneza kwenye account yako?
Wana jf, hongera sn Kwa kuendelea kuhabarishana. Mm swali Lang ni hiv hizo tarifa Za kwamba selection tayari mmezipata wap? nitumie link plz.
Wana jf, hongera sn Kwa kuendelea kuhabarishana. Mm swali Lang ni hiv hizo tarifa Za kwamba selection tayari mmezipata wap? nitumie link plz.
Jamani majina ya waliokosa vyuo TCU yanapatikanaje wakuu
Dah hadi leo hujayaona mkuu ingia hapa www.tcu.go.tz au unaweza kuingia kwny profile yako utajua kama upo 1st round au unatakiwa ufanye reapplication 2nd round.Thank You
wakuu najua nyuzi za 3rd round zpo nyingi ila nimewiwa kuanzisha uzi huu rasmi kwa sababu nilizoztaja kwenye heading.
kwa kuanza mm nina haya mawili ya kutaka kujua kutoka kwenu:
1. website ya tcu inasumbua kufunguka au 'server not found' ni kwangu tu?!
2. baadhi ya faculty kupungua capacity au kusoma 0 inaashiria nini?!