TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

usichanganyikiwe,Capacity ikionyesha 0 inamaanisha wamba watu wanaohitajika wameshapatkana kwahiyo unaweza kuwa miongoni mwao.Wewe subiri matokeo tu
 
Au kwa maana nyingine na rahisi ni kuwa hzo koz zenye 0 hazitakuwepo kwenye second round application
 
  • Thanks
Reactions: V2d
USHAURI WA BURE ;
Tcu imetoa majina ya wanaotakiwa kufanya second round, endapo ukitemwa ili ufanye second round usichague st joseph university arusha campuc au tawi lake lolote hata kama itakuwa pekeake kwa maelezo zaidi nicheki hapa 0653474767
 
ila nyie wa nacte nasikia kuna baadhi ya vyuo vimeshatoa majina ya waliochaguliwa😃
 
wakuu heshima kwenu naomba nisaidiwe nimekwama kidogo nimekuta choices zangu ziko vilievile pamoja na capacity zake na sijaona sehemu ya kuconfirm msaada tafadhali
 
wakuu heshima kwenu naomba nisaidiwe nimekwama kidogo nimekuta choices zangu ziko vilievile pamoja na capacity zake na sijaona sehemu ya kuconfirm msaada tafadhali

Unaposema choice zako ziko vile vile unamaanisha nn mkuu?
Kwasababu walioapply diploma wameshachaguliwa ila wakiingia kwenye machaguo yao yale matano wanayakuta kawaida ila kilichochange ni priority capacity, nikimaanisha kama chuo kilikuwa kinahitaji watu 40

Na kimepata watu 25 bac preority itasoma 15,
ivyo ivyo mpaka mwishowe chuo kikijaa bac itaonyesha priority capacity ni 0

Ishu inakuja hapo unaposema sehemu ya kuconfirm,
Cjaelewa vzur unataka kuconfirm nn?
 
Title inaonyesha
TCU/NACTE application
ila napishana na siasa
Mhhh. ...??:what::what:
 
Unaposema choice zako ziko vile vile unamaanisha nn mkuu?
Kwasababu walioapply diploma wameshachaguliwa ila wakiingia kwenye machaguo yao yale matano wanayakuta kawaida ila kilichochange ni priority capacity, nikimaanisha kama chuo kilikuwa kinahitaji watu 40

Na kimepata watu 25 bac preority itasoma 15,
ivyo ivyo mpaka mwishowe chuo kikijaa bac itaonyesha priority capacity ni 0

Ishu inakuja hapo unaposema sehemu ya kuconfirm,
Cjaelewa vzur unataka kuconfirm nn?

ao wa NACTE wamechaguliwa lakini mbona kwenye profile zao hakuna ujumbe wowote kuwajulisha kama mtu amechaguliwa?
 
ao wa NACTE wamechaguliwa lakini mbona kwenye profile zao hakuna ujumbe wowote kuwajulisha kama mtu amechaguliwa?

Kwa jibu nililopewa sasaivi linasema hivi,

Vile vyuo ulivyochagua vinatakiwa vyote vionyeshe priority capacity ni 0, thn jibu mtapewa kwa pamaoja kwamba chuo ulichochaguliwa ww n hiki,

So information ya ww kujuwa kwamba umechaguliwa au hujachaguliwa itakuja baadae
Tena kwa pamoja na watu wote waliochaguliwa
 
Habari Wana jamii wenzangu, mimi nilifanya application Nacte baada ya Muda nikakuta umebaki choice moja na upande wa status imeandikwa selected, but tarh za hapa juzi nakuta choice zimerudi kama awali na chuo kilichokuwa selected capacity unasoma 0, kiukweli nime panic ndugu zangu naombeni msaada hapo nn kinaendelea?
 
Hahaha😝😝 usitupanikishe bwana n taarifa zako za uongo bac ungetuletea screen shot
 
Acha kuropoka, na ucdhan kila mtu mropokaj kama ww so if you don't know just shut up and keep quiet,,,,,,,,!! Shwyn!
 
We mropokaj uhakika huwaapo na jifunze kuuliza kabra hujaropoka na kubwabwaja
 
Attachments

  • 1442418854640.jpg
    1442418854640.jpg
    7.1 KB · Views: 196
msaada plz first come first saved wanamaana gan kwa sis tuliokosa vyuo,,,, na dilisha la second round linafungwa lin,,??
 
Back
Top Bottom