TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Jaman kuanzia tareh 9 tcu wali update profile za wafunzi wote ambao wameomba vyuo mbalimbali.wale ambao walibahatika kufungua account zao wapo ambao waliambiwa wamepata na wapo waliokosa.waliokosa wslikuta notification inayowataka wa appy second round kwa chuo kimoja tuu .kwa sasa cas haifunguki na kuna watu wengi sana hawajajua kuwa account zao zimeandikiwa je!!!? Je deadline ya second round ni lini na tcu watatoa post lin naomba msaada kwen wana forum
 
Kwahilo inabidi tuwe wapole mpaka wao watakavyo amua mana hata hyo cas haipatikani kwa sasa
 
Kwahilo inabidi tuwe wapole mpaka wao watakavyo amua mana hata hyo cas haipatikani kwa sasa

Yap CAS haifunguki tangu juzi,na nakumbuka kwa wale ambao walifanikiwa kuingia kwenye profile zao walikuta ujumbe,kwamba kwamba kama hujafanikiwa kupata 1st round utafanya reapplication mpaka hapo deadline itakapotangazwa,kama nimenukuu vibaya nitasahihishwa
 
Second round bado.... ni mpk Tangazo maalumu litoke kwenye website ya TCU. Juzi ni kwamba system ilizingua tuh, so ondoeni hofu.
 
kuna jamaa alikuwa jkt karudi juzi tu hapo yeye hakufanya application sa sijui inakuwaje anaweza kuapply sasa pamoja nahawa wa second round?
 
wadogo zangu na wakubwa zangu fanyen mfanyavyo lakin uckosee ukaaplly st joseph yeyote maana utajuta hata kama ni tenth selectio! ni bora ukakosea kuoa kulikokuja st joseph
 
wadogo zangu na wakubwa zangu fanyen mfanyavyo lakin uckosee ukaaplly st joseph yeyote maana utajuta hata kama ni tenth selectio! ni bora ukakosea kuoa kulikokuja st joseph
st.joseph ya wapi ya mbezi luguruni ya Arusha au ya songea?mi nimeiweka ya mbezi civil eng choice ya nne kwa hiyo imekula kwangu mkuu?
 
Jamani nisaidieni nimeweka hii course hila siijui vizuri mwenye kuijua aniambie ipoje COMPUTER AND INFOROMATION SYSYTEM SECURITY-UDOM, JE hii course ni mzuri kushinada HEARTH INFORMATION SYSYTEM
 
Jamani nisaidieni nimeweka hii course hila siijui vizuri mwenye kuijua aniambie ipoje COMPUTER AND INFOROMATION SYSYTEM SECURITY-UDOM, JE hii course ni mzuri kushinada HEARTH INFORMATION SYSYTEM

Health Information systems iko vizuri zaidi..pia sio common kama hiyo.
 
Daah..B plane zote tatu ktk PCB zimegoma hii TCU kulaleki,, Physics B,,chemistry B na Biology B..nataka kujaza health system management UDOM.
 
nataka kuwa dokta..sasa nifanyeje...hii.heath system ndo unakukuwa nani ukimalza?
 
Back
Top Bottom