TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Asee huu mwandiko wako mi sijauelewa, ngoja waje wengine watakao kuelewa watakusaidia
 
manager wa wapi

Mbn jina la koz linajielez kijn... Ukitak kujua kuhusu kazi gugo tuu ... Japo hao jamaa ni mameneja ktk masual ya afya..mfn kua afisa n.k.. vema uka opt md tuuuu...
 
Mbn jina la koz linajielez kijn... Ukitak kujua kuhusu kazi gugo tuu ... Japo hao jamaa ni mameneja ktk masual ya afya..mfn kua afisa n.k.. vema uka opt md tuuuu...

heath imenigomea ,,inataka aliyesoma Geog
 
Daah..B plane zote tatu ktk PCB zimegoma hii TCU kulaleki,, Physics B,,chemistry B na Biology B..nataka kujaza health system management UDOM.

Kabla ya BRN ilikuwa ni 1.9 hiyo unapata MD bila wasiwasi Leo labda ukimbilie education ndo uhakika.. Ahahahaha maisha yanaenda kasi sana
 
Daah..B plane zote tatu ktk PCB zimegoma hii TCU kulaleki,, Physics B,,chemistry B na Biology B..nataka kujaza health system management UDOM.

NATAKA ✖✖✖✖✖ = NAOMBA

Ninyi ndo mnanyanyasa wagonjwa bora ulivyokosa sekta ya afya kasomee education huko maana ualimu ndo unauweza unaoendana na command na ukali
 
Hilo neno katika heading " nataka" ingefaa Liwe naomba.
 
Utumbo gani mkuu

Ukitaka kuwakomesha TCU faulu sana,piga GPA kuanzia nne uone kama utapata stress!
 
wakuu nilifanya application kupitia nacte coz nna diploma ya medical lab nilitaka nifanye degree sasa kwa profile yangu leo hii saa izi kwny capacity ni 0(zero)it means nimeshakosa au?na nifanyeje?wenye uelewa please mnisaidie nimechanganyikiwa...
 
CCM oyeeee....!!! CCM mbele kwa mbele..!!! (joking)
Matokeo ya mwaka huu walitoa kisiasa hata wazembe wamepiga distinction kwa hiyo competition imekua kubwa sana..wenye vigezo wengi,vyuo vichache. Pole mdogo wangu tulia tu ujipange
 
walichekelea wote kufaulu. ahahah ila hao walobebwa vyuoni wanapata shida jamani hadi huruma wanasweat viganjani mda wote
 
Back
Top Bottom