Naombeni mnisaidie wakuu
cas hovyoooooooooooooooooooooooooo kama ukawa
Niliandikiwa jana but skuichagua hiyo cozi moja kama walivyosema, so baada ya kuapdate hiyo system yao ,sisi wanaweza wakatuchagua bila ya kuapply tena second round???
Mwanzon mwa mwezi 10
Mwanzon mwa mwezi 10
wapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa. Karibuni nyote
Kwa maana hiyo wakiifungua tena hiyo website kuna uwezekano wa sisi tulooambiwa second round tukawa tushajaguliwa because system si umesema ina update
wewe unasimama kama nani pale TCU au ndo muenezi