Yaani japo sijajua kama zimebadilika ila ukiona hivyo ujue hawasajili watu kwenye hizo program kutokea NACTE
Ni kweli inamaanisha hakuna nafasi ama hawachukui watu
Nimeona kwenye profile yangu kuna o capacity na choice hazijachange bado na lini? majibu yatakuwa tayariwapendwa nawakaribisha wote kuhuliza chochote kuusiana na chochote mpaka ivi sasa. Karibuni nyote
Nimeona kwenye profile yangu kuna o capacity na choice hazijachange bado na lini? majibu yatakuwa tayari
chuo usika wamechukua maombi na wanashugulikia, kwaiyo wait
kaka mm profile yangu haifunguki
tcu wanatoa lini majina
Naona cas.tcu.go.tz haipatikani tokea jana? Kuna tatizo au?
CAS haifunguki toka jana