wiz king treasure
Member
- Apr 25, 2015
- 52
- 2
Nilifanya application online baada ya Muda nikakuta umebaki choice moja na upande wa status imeandikwa selected je inamaanisha hapo ndipo nilipo chaguliwa? naomba msaada wandugu.
Nilifanya application online baada ya Muda nikakuta umebaki choice moja na upande wa status imeandikwa selected je inamaanisha hapo ndipo nilipo chaguliwa? naomba msaada wandugu.
Ndio nacte
Recognition prior learning RPL iko badala ya mature age entry exms. hii hata darasa la saba aliye fanya kazi na uzoefu ktk upande fulani ana ruhusiwa kusoma degree baada ya kushinda mtihani, lazima awe na barua kutoka kwa mwajiri ikielezea utendaji wake wa kazi,kuna maelezo mengi soma ktk web ya tcu
Naombeni mnijuze, ukiingia kwenye profile za NACTE kwa aliyeomba degree programmes ukakuta admission capacity wameandika sifuri/zero "0" inakuwa na maana gani?
Bado database haija update lakini sio tatizo even TCU ilikuwa inaonyesha ivyo kwenye baadhi ya vyuo baadae ikawa.poa
hata mm nimeikuta hiyo! hv wanamaanisha nn? wajf msaada tafadhali.
Naombeni mnijuze, ukiingia kwenye profile za NACTE kwa aliyeomba degree programmes ukakuta admission capacity wameandika sifuri/zero "0" inakuwa na maana gani?