TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

hivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie
 
Habarini wana jf. Samahani naomba kujua kati ya hz course zitolewazo hapo sua ni ipi ambayo ina future zaid kuliko zingine kulingana na hali halisi ya maisha ya sasa.. Course hzo n general agriculture, land use planning, agronomy, irrigation eng.
 
Hivi siku zote hizo Ulikuwa wapi ndugu eeehhh hebu jalibu bwaanaa

wanazingua nacte wamesema wametuma password .
na username kwenye email ila sijaona mpk ss toka saa kumi...nawapigia hawapokei
 
Tatizo ni NETWORK database yao inashindwa ku update lakini after deadline utaona inabadilika
 
Hauna vocha ya NACTE au nini tatizo?

nimenunua vocha wakanitumia code ,nikaingiza na taarifa za mwanzo kama email,phone no n.k...nilivo click continue ikaload afu haikudisplay chochote,nikaziingiza upya wakanambia io code ishatumika na wametuma username&password kwenye email...ila mpk sasa kwenye email sijaona chochote...nimewapigia m-pesa wamesema nijaribu wasiliana na nacte...ila hawapokei simu
 
Pole mkuu jiandae kukaa mwaka nyumba mwakani utajitahidi kuwaii
 
nimenunua vocha wakanitumia code ,nikaingiza na taarifa za mwanzo kama email,phone no n.k...nilivo click continue ikaload afu haikudisplay chochote,nikaziingiza upya wakanambia io code ishatumika na wametuma username&password kwenye email...ila mpk sasa kwenye email sijaona chochote...nimewapigia m-pesa wamesema nijaribu wasiliana na nacte...ila hawapokei simu

Umesoma diploma?
 
mwisho kesho mkuu,ivo bado na chance afu we si ulikosea fomu ya mkopo mkuu

Hapana sijakoseaaa nilikuwa na wasiwasi tuu mkuu ndio maana jina langu sijalionaa but mimi nimefanya kilicho elekezwa kwenye fomu but si unajua hum kila mtu mjuajii
 
hivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie

Hata mimi Nashanga
 
Tatizo ni NETWORK database yao inashindwa ku update lakini after deadline utaona inabadilika

sasa hapo si ndio wanapoteza watu sasa?maaana mtu anajipa moyo kumbe kuna watu kibao wamejaa,mwisho unakosa chuo hv hv
 
hivi wakuu ile competition from other applicants pale unapojaza course inasema ukweli?mbona mimi kila siku wapo wale wale tu hawabadiliki,wamebadilika mara moja tena inafika wiki 3 nyuma,kwa ambao wamekwisha kufanya maombi wanisaidie
nilivyoona uzi wako na mimi ikabidi nifatilie manake at first nilikuwa najipa matumaini kwenye coz zangu kama moja nimeijaza yaani inaonesha hakuna ata mmoja 1st to 5th priority tena nikaiweka ya kwanza, ila nimehakikisha kwa kutumia profile mbili na ya jamaa angu nikawa naadd kule af nachech yangu ila namba ni ile ile, kumbe nilikuwa chakka, anyway liwalo na liwe baada ya kesho
 
hawa tcu nao sasa wanazingua,coz wanatupeleka chaka balaa,unaweza kujipa moyo mwisho ukakosa chuo hv hv
 
Back
Top Bottom