akilikubwa
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 590
- 108
Wakuu nisaidieni nmetuma malipo via M pesa but sijapata token kutoka Tcu nafanyaje?
Yani hapo ndiyo imepotea tena mimi pia nilikosea mpaka leo nina vocha ya NACTE ..sijarudishiwa pesa yangu.
Wakuu nisaidieni nmetuma malipo via M pesa but sijapata token kutoka Tcu nafanyaje?
Yani hapo ndiyo imepotea tena mimi pia nilikosea mpaka leo nina vocha ya NACTE ..sijarudishiwa pesa yangu.
Mkuu naomba nisaidie kwani TCU business namba yao ya malipo ni ipi ?
Ni 240077
Shukrani mkuu na Mimi nimepatwa na tatizo hilo nimelipia NACTE ,
na JEFF TCU wameshafunga kupokea maombi ya kujiunga mbona haifunguki
Bado hawajafunga mpaka tarehe 30.jaribu kufungua na firefox
Mkuu naomba nielimishe kuhusu hiyo Firefox kusema kweli sijui
unatumia simu au computer?
Natumia simu android phone
Then kuna App inaitwa play store ingia,alaf search mozilla firefox download..uneshanunua vocha tayari?
Sawa mkuu nakushukuru sana,
nitadownload hiyo applcn. ,
ndio vocha nimeshanunua
ok.fanya hivyo deadline iko kalibu
ok,
ukiacha business number TCU reference number yao ngapi?,
kama ile ya NACTE ambayo 1234?
mana process yote ya kupay na kuapply nazifahamu shida na hizo business & reference number
Jaribu kuchange priority. Uone
Umefanikiwa?
nimegundua hii baada ya mkuu mmoja kuuliza na ww ukamjibu kuwa hiyo iliyoenda NACTE amekosea na hairudishwabado , reference namba ya TCU katika malipo ni ngapi km ile 1234 ya NACTE au TCU unaweka business number tu,
juzi nilifanya malipo ndio yalienda nacte
bado , reference namba ya TCU katika malipo ni ngapi km ile 1234 ya NACTE au TCU unaweka business number tu,
juzi nilifanya malipo ndio yalienda nacte
*150*00# 2. Select option # 4: Pay via M-PESA 3. Select option #4: Enter Business number: 240077 4. Enter payment reference number: 123456 5. Enter Amount: 50,000/- 6. Enter your PIN 7. Enter 1 to confirm  You will receive an M-PESA notification SMS confirming your transaction.  You will then receive another SMS from TCU with voucher Number that you can use as Payment ID on the Central Admission System (CAS) for registration