Hellena Goodluck
Member
- Sep 10, 2014
- 84
- 26
Wakuu naombeni msaada,nimecheck deadline ya kufanya application TCU ni tarehe 30 august. juzi nlifanya malipo ya 50,000 kupitia tigo pesa nlipata namba yangu ya vocha vizuri,lakini kila nilipojaribu kufungua website yao ili nianze registration hiyo website haifunguki hadi leo hii.Naombeni mnisaidie shida ni nini,au kuna njia nyingine ya kuapply? ukizingatia siku zinaisha.