thedaydreamer
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 372
- 88
Siyo kweli deadline ni tar 15 aug
Ila mchakato wa second roll ndio utaendelea mpaka tar 31.
Hiyo ndio taarifa rasmi.
Sababu kunavyuo vinafungua mwez wa tisa
deadline ikishafika hautoweza kuedit, kuadd au kuromove selection yako ya vyuo, 2nd round inakuja kama wiki 2 baada ya deadline na deadline wao wenyewe wameandika 31st, labda tuambie kama profile yako haiwezekana kuedit manake mi yangu kuedit inawezekana bado