TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

Wakuu naombeni mnijuze lini mwisho wa kuapply kwa waliomaliza mwaka 2014 mpka 1988 lini kwa TCU
 
Unaweza kupakua Kitabu cha Mwongozo moja kwa moja kutoka Website ya TCU.

Faili la PDF: View attachment 252239





wakuu naomba mnisaidieni mimi nilikua nafanya hizi application za vyuo lakini nilipokua najaza baadhi ya details pale lakini kila nikijaza ile payment transaction ID ilikua inatemwa naambiwa imeshatumika wakati naamini na ninauhakika hii ID hamna aliyeiona n mimi mwenyewe na yule wa cafe ambae alikua ananifanyia application sasa kila nikiingiza inatemwa imetumika sasa sijui tatizo nini naomba nisaidieni
 
tcu wanamatatizo gani lakin kutwa mzima website yao haipatikani tatizo ni nini lakini, itakuwaje sasa mda ushaisha na application sijafanya then netwok yao haipatikan
 
hbarini wana jamvi naomba uliza deadline ya tcu apllication for 2015/2016 ni lini
 
ansante mkuu ,ila daah website yao toka asbuhi haifunguki sijuw wanamatatizo gani
 
ukiona vocha namba inakataa jaribu kuingiza ile namba ya udhibitisho wa muamala uliyotumiwa na mtandao husika

Hiyo ndio iliyonsaidia nilisubiri wiki 3 hakuna TCU Confirmation Transaction ID ikanibidi nirudi kwenye msg ya tigo ndio ile ikakubali.
 
Tatzo cio tcu ni mtandao uko busy sana web yao inatumiwa na watu weng kwa sasa ndio maana iko hvyo
 
Siyo kweli deadline ni tar 15 aug
Ila mchakato wa second roll ndio utaendelea mpaka tar 31.
Hiyo ndio taarifa rasmi.
Sababu kunavyuo vinafungua mwez wa tisa
 
Back
Top Bottom