TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

wakuu kuna mkanganyiko kidogo naomba kujuzwa agribussines ya UD kwenye TCU GUIDELINE BOOK imewekwa priority ila CAS wameiweka non priority wakuu apo ipi ndo sio sahihi

msaada tafadhali
 
Wanajamiii tcu inashida sana kuna watu wanaomba baadhi ya faculty inagoma eti hawana vigezo saingine inakubali afu baadhi ya account zngne za watu hazina kuchek eligibility znakubali tu ukijaza faculty yoyote mbona wanachanganya mambo, kama kuna mtu kawasiliana nao msaada jameni afu mda unazidi kwenda
 
Hilo hata mimi lilinitokea mkuu
 
Wanajamiii tcu inashida sana kuna watu wanaomba baadhi ya faculty inagoma eti hawana vigezo saingine inakubali afu baadhi ya account zngne za watu hazina kuchek eligibility znakubali tu ukijaza faculty yoyote mbona wanachanganya mambo, kama kuna mtu kawasiliana nao msaada jameni afu mda unazidi kwenda

Huwezi kujaza faculty, unajaza course
 
Ukiwapigia customer care wa mtandao ulionunulia je???
 
toka jana usiku mpaka saa izi saa mbili asubuhi najaribu kufungua website ya tcu haifunguki.... na bhado cjajaza coz yoyote.... dead line ni lini kwa form six wa mwaka jana....?
 
nahitaji kufanya application lakini
website ya tcu haipatikani mpak sasa tatizo nini hawa watu mbona ubabaishaji mwingi....
 
TCU na NACTE hawakujipanga na online apllications ni usumbufu uliokithiri...aaaargh
 
nataka nifanye editing katika profile yangu kwenye CAS......kila nikiingia naambiwa error....yaani tokea juzi.......afu deadline ya kufanya editing ni liniii???
 
Back
Top Bottom