TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

mwisho wa kutuma maombi tcu ni augost 31 2015 saa 23:59 usikuuuu...!!!
Fanya yako bado hujachelewa ukipata taarifa hii mwambie na mwezio.

mbona sioni sehem ya ku select programme after ku log in ... Whats the problem?
 
naomba kufahamishwa deadline ya kuapply chuo kupitia TCU kwani kwenye mabandiko ofisini kwao ni 15 august ila kwenye guidebook wameandika 30 august.
 
Hivi hapa kwenye kuupload transcript inabidi uapload kilq page kivyake au page zote ziwe kwenye pdf file 1?
Weka ktk pdf file moja hata kama ikichkua page mbili. Ukienda kuscan stationery waambie wascan it in such away that kama ziko page mbili ukiscrow down ukute ya pili, ila pdf file ni 1
 
naomba kufahamishwa deadline ya kuapply chuo kupitia TCU kwani kwenye mabandiko ofisini kwao ni 15 august ila kwenye guidebook wameandika 30 august.

Nna vocha ya tcu mkuu, kama uko interested ni PM..
Price ni 40000
 
jaman naombeni msaada kidogo mm nilikuw nataka ku apply diploma ualimu ila nimemalza advance 2012 ila nikienda kweny kuchagua vyuo course inakuja ya afya na teaching math & physics
 
Duuu mbona afya wamefunga inakuaje tena na mbona wanazingua watu na mwisho tarehe 16 daaa hii bongo bhanaa
 
jaman naombeni msaada kidogo mm nilikuw nataka ku apply diploma ualimu ila nimemalza advance 2012 ila nikienda kweny kuchagua vyuo course inakuja ya afya na teaching math & physics

Jina lako kamili unaitwa nani upo wapi
 
Back
Top Bottom