Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu kibali cha Wanafunzi St. Joseph kufungua kesi dhidi ya chuo na TCU

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Ndugu wanaJF,

Nadhani sote tunakumbuka Wanafunzi 316 waliosimamishwa masomo chuo kikuu cha St. Joseph Kampasi ya Dar es salaam, walifungua kesi ya kuomba kibali cha kuwakilisha wenzao mahakamani pamoja na chuo kusitisha masomo wakati kesi ya msingi ikiendelea kusikilizwa.

Sasa kesi hiyo imetajwa leo June 10 2016 Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ambapo imetoa kibali kwa wanafunzi kufungua kesi dhidi ya chuo hicho na Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU’.

Leo hii akitoa ufafanuzi wakili wa walalamikaji, Emmanuel Muga amesema amenukuliwa akisema ’hii kesi ina utaratibu kwa sababu mpo wengi wanafunzi 316 ikiwa ni watu wengi inabidi upande kibali cha mahakama ili ufungue hiyo kesi na hiyo kesi itawakilishwa na watu wachache yaani watu wanne tu lakini ili watu wanne wawakilishe wenzo wote lazima mahakama itoe kibali’

Katika madai ya msingi, walalamikaji ambao ni wanafunzi wanadai fidia ya miaka mitatu waliokaa chuoni hapo dhidi ya chuo na Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU’.
 
Interesting case...

Hii ni kama mwanafunzi ana disco halafu anaenda mahakamani kudai kuwa chuo kimempotezea muda wake na pesa zake!

Kwa upande mwingine ni sawa na kumshitaki mwajiri wako kwa kosa la unfair dismissal and wastage of time.

Hukumu yake itatoa precedent kwa maelfu ya wanafunzi/wanachuo wanao disco au vyuo kufungwa.
 
Atleast sasa tutaanza kusheshimu muda wa wengine.
Hivi mtu ukae shule miaka mitatu na maisha ya shule sote tunayajua halafu mtu anatokea huko alikotokea anakwambia workdone is equal to nothing kiukweli ngoja watiwe adabu hawa kwa kulipa fidia walau wajue kuwa muda ni mali kama zilivyo mali nyingine yaani fedha majumba viwanja mwendokasi na kukaa na kilaza.
Good luck God be with you guys!!
 
Wamefanya jambo la msingi ingawa hawakuwa na sifa,ilikuwaje wakadahiliwa chuoni?.

Ada walizolipa,muda waliopotezewa lazima chuo na TCU wawalipe maana kuna baadhi ya sehemu wamezoea kuendesha mambo kihuni.
 
Sasa taifa linaelekea kurudi pahala pake, maana mitumishi ya umma ilikuwa miungu watu!
 
Kwa kufanya hivi watendaji wa Serikali wataanza kuwa na nidhamu katika utendaji wao, hii ni kumsaidia mzee wa majipu kama alivyosema makamu wa Raisi mama Samia kuwa tunarudisha nidhamu ya utendaji serikalini
 
WANA
Ndugu wanaJF,

Nadhani sote tunakumbuka Wanafunzi 316 waliosimamishwa masomo chuo kikuu cha St. Joseph Kampasi ya Dar es salaam, walifungua kesi ya kuomba kibali cha kuwakilisha wenzao mahakamani pamoja na chuo kusitisha masomo wakati kesi ya msingi ikiendelea kusikilizwa.

Sasa kesi hiyo imetajwa leo June 10 2016 Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ambapo imetoa kibali kwa wanafunzi kufungua kesi dhidi ya chuo hicho na Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU’.

Leo hii akitoa ufafanuzi wakili wa walalamikaji, Emmanuel Muga amesema amenukuliwa akisema ’hii kesi ina utaratibu kwa sababu mpo wengi wanafunzi 316 ikiwa ni watu wengi inabidi upande kibali cha mahakama ili ufungue hiyo kesi na hiyo kesi itawakilishwa na watu wachache yaani watu wanne tu lakini ili watu wanne wawakilishe wenzo wote lazima mahakama itoe kibali’

Katika madai ya msingi, walalamikaji ambao ni wanafunzi wanadai fidia ya miaka mitatu waliokaa chuoni hapo dhidi ya chuo na Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU’.
WANAJISUMBUA TU HAO BORA WATAFUTE SHUGHULI ZA KUFANYA!
 
Atleast sasa tutaanza kusheshimu muda wa wengine.
Hivi mtu ukae shule miaka mitatu na maisha ya shule sote tunayajua halafu mtu anatokea huko alikotokea anakwambia workdone is equal to nothing kiukweli ngoja watiwe adabu hawa kwa kulipa fidia walau wajue kuwa muda ni mali kama zilivyo mali nyingine yaani fedha majumba viwanja mwendokasi na kukaa na ******.
Good luck God be with you guys!!
Mimi niachotaka kusema ni kuwa Moderator wa JF, utaweza ku moderate vitu vingine vyote ambavyo vinavunja sheria ya mitandao kwa Tz tu, ila si jina moja tu na kusema defermation kutaja jina la mtu tu.
Angeli kuwa mtoto wa Mkulima kutajwa kapata Divisheni Foo kwake ni Furaha basi hata Watajiri iwe hivyo hivyo kwakuwa na Double Standards.
Iko hivi ''You can lie some people at a Time but,You can't lie the people at the same Time" &

"Never ever born a perfect CREATURE IN THE WORLD/ON THE SURFACE SINCE THE START OF THE EARTH"
Ndugu wanaJF,

Nadhani sote tunakumbuka Wanafunzi 316 waliosimamishwa masomo chuo kikuu cha St. Joseph Kampasi ya Dar es salaam, walifungua kesi ya kuomba kibali cha kuwakilisha wenzao mahakamani pamoja na chuo kusitisha masomo wakati kesi ya msingi ikiendelea kusikilizwa.

Sasa kesi hiyo imetajwa leo June 10 2016 Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam ambapo imetoa kibali kwa wanafunzi kufungua kesi dhidi ya chuo hicho na Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU’.

Leo hii akitoa ufafanuzi wakili wa walalamikaji, Emmanuel Muga amesema amenukuliwa akisema ’hii kesi ina utaratibu kwa sababu mpo wengi wanafunzi 316 ikiwa ni watu wengi inabidi upande kibali cha mahakama ili ufungue hiyo kesi na hiyo kesi itawakilishwa na watu wachache yaani watu wanne tu lakini ili watu wanne wawakilishe wenzo wote lazima mahakama itoe kibali’

Katika madai ya msingi, walalamikaji ambao ni wanafunzi wanadai fidia ya miaka mitatu waliokaa chuoni hapo dhidi ya chuo na Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU’.
May God be ahead to all of you, give you lightness in the darkness, a way for unaway....Amin.
Haki hucheleweshwa tu lakini huwa Daima haipotei na ikipotea ni kwa hapa duniani tu,ila aliye juu hakika atamlipa kila mmoja wetu sawasawa na matendo pamoja na fadhila zake.
Hivyo ikumbukwe kuwa mwanadamu utamdanganya na kujaribu kumtisha ili kuficha uovu wako lakini Mungu THUBUTU YAKO.Msihofu simameni IMARA Mungu yu pamoja nanyi pamoja na wale wa UDOM.
 
Mimi niachotaka kusema ni kuwa Moderator wa JF, utaweza ku moderate vitu vingine vyote ambavyo vinavunja sheria ya mitandao kwa Tz tu, ila si jina moja tu na kusema defermation kutaja jina la mtu tu.
Angeli kuwa mtoto wa Mkulima kutajwa kapata Divisheni Foo kwake ni Furaha basi hata Watajiri iwe hivyo hivyo kwakuwa na Double Standards.
Iko hivi ''You can lie some people at a Time but,You can't lie the people at the same Time" &

"Never ever born a perfect CREATURE IN THE WORLD/ON THE SURFACE SINCE THE START OF THE EARTH"

May God be ahead to all of you, give you lightness in the darkness, a way for unaway....Amin.
Haki hucheleweshwa tu lakini huwa Daima haipotei na ikipotea ni kwa hapa duniani tu,ila aliye juu hakika atamlipa kila mmoja wetu sawasawa na matendo pamoja na fadhila zake.
Hivyo ikumbukwe kuwa mwanadamu utamdanganya na kujaribu kumtisha ili kuficha uovu wako lakini Mungu THUBUTU YAKO.Msihofu simameni IMARA Mungu yu pamoja nanyi pamoja na wale wa UDOM.
MUNGU HUKUBALI MAOMBI HALALI TU. KAMA SIVYO NI KUJISUMBUA TU
 
Jina la J halitakiwi kutajwa popote hapa duniani ispokuwa UDOM tu!
 
Interesting case...

Hii ni kama mwanafunzi ana disco halafu anaenda mahakamani kudai kuwa chuo kimempotezea muda wake na pesa zake!

Kwa upande mwingine ni sawa na kumshitaki mwajiri wako kwa kosa la unfair dismissal and wastage of time.

Hukumu yake itatoa precedent kwa maelfu ya wanafunzi/wanachuo wanao disco au vyuo kufungwa.

Kwani ni sababu gani inayowafanya wafungue kesi dhidi ya Chuo na TCU?

Hebu tujikumbushe hilo kwanza ndiyo tupime kama hoja yako iko valid au ni yale yale tu ya "maamuzi ya serikali ya 'Magufuli' is always right!!"....haipaswi kuwa challenged...

Nionavyo mimi haya unayoyalinganisha hapa ni irrelevant na situation ya wanafunzi hawa vs Chuo/TCU!!

Else, ingekuwa ni hivi unavyodhani wewe, basi hata wanasheria wao wangeshawashauri kuwa kesi yao haina nguvu za kisheria!!
 
WANA

WANAJISUMBUA TU HAO BORA WATAFUTE SHUGHULI ZA KUFANYA!

Kwa nini wewe unadhani wanajisumbua tu?.....Hebu eleza

Tatizo lenu mmeambiwa mshambulie tu anything from anyone which is against "serikali ya Magufuli!!"

Ndiyo kusema, mimi naamini kabisa kuwa hapa ndiyo mwisho wako wa kuwaza na kisha ukaropoka hiki ktk maandishi yako!!

Ni kwa sbb pia, naamini hata hujui ni kwa nini wamefungua kesi!!

Pia hata hujui majukumu ya TCU ambao ndiyo wanashitakiwa!!
 
Ingekuwa nchi guru za wenzetu....jesi-kha ,,udom na TCU wangefunguliwa mashtaka ili kutengua udahili wa jesikHa
 
Interesting case...

Hii ni kama mwanafunzi ana disco halafu anaenda mahakamani kudai kuwa chuo kimempotezea muda wake na pesanvitu viwili visivyofanana. Kudisco inakuwa sababu wewe mwenyewe kufeli au kufelishwa na mkufunzi. Ishu ya udahili sio kosa la mwanafunzi, kumbuka TCU na chuo ndio wanaotoa vigezo vya mwanafunzi kujiunga kwa hiyo wakisema POINT 2.5 unaruhusiwa kujiunga na chuo. sio kosa la wanafunzi. ACHA UJ
 
Back
Top Bottom