TCRA wanatudanganya?

TCRA wanatudanganya?

Naomba nifunge mjadala huu kwa kusema kwamba nimesoma usalama wa mawasiliano ya angavu

"HAKUNA USALAMA KWENYE MIFUMO YA TECHNOLOGIA KWA ASILIMIAMIA 100"

wakati unawaza what's up haiwezi kudukuliwa, kumbe ni kitu chepesi sana sema haijawa public tu

" USIAMINI KUWA WHATSUP NA TELEGRAM KUWA INA USALAMA WA END TO END ENCRYPTION NEVER EVER"

KWENYE MAMBO YA USALAMA WA TECHNOLOGIA JIAMINI WEWE KAMA WEWE USIAMINI KUWA SIJUI KITU FLANI HAKIWEZI KUDUKULIWA NOO NOO MY DEAR

Nafunga mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakua umesomea usalama wa mawasiliano ya kichawi sio bure. Bora hata sisi self taught amateurs.

Whatsup!
 
Usiwe mweupe kichwani

WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
Watu ambao wanauelewa mdogo kwny masuala ya IT ndo wanafikiri wako salama 100% wanapokuwa mitandaoni hasa wanapodanganywa na vimeseji vya security alert(your whatsapp is protected by end to end encryption.....blah blah). My friend, u get to kno that, once u ar connected u ar not safe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini amini nawaambieni,
Whatsapp sio salama sana kama mnavyodhani. Ukiandika meseji ukafuta wenye mitambo yao wanaweza kuiona endapo wakitaka, ni wao tu kua na simu yako.

Hii hutokea kama wanahitaji ushahidi fulani, nawe umekamatwa mhanga kwenye hilo tukio, niishie hapo tu.
 
Wabongo kwa kujifanya wajuaji WhatsApp idukuliwe hao FBI wamemwomba na kumuahidi pesa aliekua mfanyakazi wa El Chapo Guzman muuza Sumu wa Mexico alieshtakiwa Brooklyn kuonesha meseji za WhatsApp baina yao maana walikua wapenzi kisiri siri kama wangeweza kudukua wasingetoa hela wangedukua tuu...
Hela yote ya nini, wakati plaizi ya kubinya mapumbu ipo?
 
Hela yote ya nini, wakati plaizi ya kubinya mapumbu ipo?
Mkuu wanamtumia kama shahidi wa hiyo kesi kuisaidia USA gharama za kumtoa Mexico na kuishi USA zipo juu yao na wapo wengi ni mwanamke na pia wenzetu wapo tofauti uendeshaji wa kesi zao na sisi kwa matukio makubwa..
 
Km nliskiliza vizuri rais alitoa km changamoto ( kwamba ule mtambo uweze kudhibiti hata mawasialiano ya whatsapp nk)

Hakuna mfumo wa mawasiliano ambao upo 100% salama(fact)

Udukuzi unaweza fanyika katika maeno matatu..
1 kwenye chanzo(source)
2 kwenye kusafirishwa/mawimbi etc
3 kwa mtumiaji wa mwisho(destination).

Whatsapp kwa mfano encryption inafanyika kwenye source na inapofika destination ina kuwa decrypted...
Sasa inawezekana source au destination device ikadukuliwa na mawasiliano yakapatikana kama kawaida.
Sii lazima kuuingilia mtandao wa whatsapp wenyewe.

Mitandao pamoja na ulinzi wake.. imetengenezwa na binadam na hao hao wanajua jinsi ya kuingilia
As long as u have the appropriate tools and algorithm
Nawasilisha!!

You done it all mkuu!

Watu wakiambiwa hii mifumo inadukuliwa kirahisi wanadhani tunazungumzia kisiasa kwamba tuko upande wa govt kuwaingilia falagha zao!!

But mfumo wowote unachezewa easy kabisa!
 
Back
Top Bottom