TCRA wanatudanganya?

TCRA wanatudanganya?

Naomba nifunge mjadala huu kwa kusema kwamba nimesoma usalama wa mawasiliano ya angavu

"HAKUNA USALAMA KWENYE MIFUMO YA TECHNOLOGIA KWA ASILIMIAMIA 100"

wakati unawaza what's up haiwezi kudukuliwa, kumbe ni kitu chepesi sana sema haijawa public tu

" USIAMINI KUWA WHATSUP NA TELEGRAM KUWA INA USALAMA WA END TO END ENCRYPTION NEVER EVER"

KWENYE MAMBO YA USALAMA WA TECHNOLOGIA JIAMINI WEWE KAMA WEWE USIAMINI KUWA SIJUI KITU FLANI HAKIWEZI KUDUKULIWA NOO NOO MY DEAR

Nafunga mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi ngoja nikusaidie... Hiyo encryption kazi yake ni kufanya data sent ziwe hazieleweki MTU hata akiiba akute minumber na miherufi isiyo eleweka.. So end-end ni kuwa the key is only know by the sender n receiver.. N sender anatuma public key to a receiver ndio anaencrypt data huku original sender ataumia private key kudecrypt the text...
Sasa MTU kudecrypt by guessing ni shida sana almost impossible.. Basing on complexity theory ila kama ni base on information theory ndo huwezi break kabisa never

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umenipinga? Umeniunga mkono? Umenikosoa ? Au umefanyeje? Kwenye maoni yangu ya mwanzo!
Ujinga mtupu ndio maana vitoto vidogo vikigusa server za jf kidogo tu vinaitwa genius!
Ujijaribu kuniquote tena mpumbavu!
 
Naomba nifunge mjadala huu kwa kusema kwamba nimesoma usalama wa mawasiliano ya angavu

"HAKUNA USALAMA KWENYE MIFUMO YA TECHNOLOGIA KWA ASILIMIAMIA 100"

wakati unawaza what's up haiwezi kudukuliwa, kumbe ni kitu chepesi sana sema haijawa public tu

" USIAMINI KUWA WHATSUP NA TELEGRAM KUWA INA USALAMA WA END TO END ENCRYPTION NEVER EVER"

KWENYE MAMBO YA USALAMA WA TECHNOLOGIA JIAMINI WEWE KAMA WEWE USIAMINI KUWA SIJUI KITU FLANI HAKIWEZI KUDUKULIWA NOO NOO MY DEAR

Nafunga mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kuhoa kikohozi!
Wanadhani wapo salama!
Wamiliki wenyewe wa hizo mambozi wanalia deilee na udukuzi!
Then jitu jeusi linakuja lina sema hii E2EE ndio top security!
 
Sawa mkuu!
Haupo salama !
Kuna watu kuamka code ,kulala code kunya,kukojoa code.
Kudistract E2EE kwake ni uji.
Hao watu wanaishi Sayari ipi? Apple Mara nyingi tu imepelekwa mahakamani over the issues of cryptography..

Hata hao Whatsaap hawana uwezo wa kusoma msg yako...It's the same na password yako ya benki..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie watu ni vilaza kweli..!
Mnabishana kitu ambacho hamjaelewa
Huo mtambo wa TCRA haupo kwa ajili ya kudukua mawasiliano ya mtu

Walichomaanisha ni kukusanya data za watu wanavyopiga simu kujua ni muda gani wa mazungumzo uliotumika, kampuni ya simu imeingiza kiasi gani na serikali itapata kodi kiasi gani...ni kuhusu kupata fedha zaidi kutoka kwa makampuni ya mawasiliano

Sio kusikiliza wala kusoma msg za mtu
 
Whatsapp ni wazungu na hawana time ya kujua eti Brown anachat nini na Stewart.
Hiyo technology ya whatsapp ni balaa mzee
Wabongo sisi wabishi nenda Google katafute sms encryption kwanza halafu tafuta end to end encryption utapata majibu yako.
Kingine ni kuwa hatuna technology ya kudukua Info za kimataifa tusidanganye jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nifunge mjadala huu kwa kusema kwamba nimesoma usalama wa mawasiliano ya angavu

"HAKUNA USALAMA KWENYE MIFUMO YA TECHNOLOGIA KWA ASILIMIAMIA 100"

wakati unawaza what's up haiwezi kudukuliwa, kumbe ni kitu chepesi sana sema haijawa public tu

" USIAMINI KUWA WHATSUP NA TELEGRAM KUWA INA USALAMA WA END TO END ENCRYPTION NEVER EVER"

KWENYE MAMBO YA USALAMA WA TECHNOLOGIA JIAMINI WEWE KAMA WEWE USIAMINI KUWA SIJUI KITU FLANI HAKIWEZI KUDUKULIWA NOO NOO MY DEAR

Nafunga mjadala

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipoandika tu "WHATSUP" nikalazimika kupuuza comment yako yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeeh sifa zipi?
Nimeamini watu wanaitwa magenius kwa vitu vidogo sana.
Kuwa smart ewe jitu jeusi dunia ni ndogo sana.
Mkuu mambo usiyoyajua bora ukakaa kimya tu na kuwa 'mpenzi msomaji' ili kuficha ujinga wako.

Unaelewa kwanza maana ya end-to-end encryption?
Mbona mnaishia kutunishana misuli wazee...elezeeni tusiojua tuelewe... hapo hapo tutajua asiejua.
 
Nyie jamaa sijui mpo mwaka gani,yani kuna watu wamekomaa whatsapp aidukuliwi ,as long unatumia kifaa cha electronic chenye network/internet haupo salama...
 
Back
Top Bottom