TCRA wanatudanganya?

Hao watu wanaishi Sayari ipi? Apple Mara nyingi tu imepelekwa mahakamani over the issues of cryptography..

Hata hao Whatsaap hawana uwezo wa kusoma msg yako...It's the same na password yako ya benki..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umewai kujiuliza whatsapp ni bure na hawana matangazo sasa wanapataje faida!?
 
Mbona mnaishia kutunishana misuli wazee...elezeeni tusiojua tuelewe... hapo hapo tutajua asiejua.
Haya mambo yana ethics br!

Kama umeajiriwa ofisi flani has a hizi ambazo mabosi wenu ni RAIA wa kigeni ,jaribu kuwa makini sana.
Wanawachezea watakavyo coz mnaamini mko secured sana.
 
Vijana wakikaa Vijiweni wanakuwa na story zisizo na ukweli...

Whatsaap anaichukulia poa sababu anadownload buree.Sidhani kama anajua Zuckerberg aliinunua kwa $19 bilioni..hiyo hela nyingi kuliko bajeti ya Tanzania.

Halafu mbongo mmoja anaichukulia poa.
Mkuu sio maoni, huo ni ujinga na usipoambiwa utaendelea kuamini huo ujinga, kama unaweza dukua whatsap yangu sasahivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wakikaa Vijiweni wanakuwa na story zisizo na ukweli...

Whatsaap anaichukulia poa sababu anadownload buree.Sidhani kama anajua Zuckerberg aliinunua kwa $19 bilioni..hiyo hela nyingi kuliko bajeti ya Tanzania.

Halafu mbongo mmoja anaichukulia poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stori zao za vijiweni anataka kuzileta hapa.
 
Nimecheka sana huu ubishani, wahusika na kesho mje kijiwe hiki maana hatujapata muafaka bado.
 
Wabongo kwa kujifanya wajuaji WhatsApp idukuliwe hao FBI wamemwomba na kumuahidi pesa aliekua mfanyakazi wa El Chapo Guzman muuza Sumu wa Mexico alieshtakiwa Brooklyn kuonesha meseji za WhatsApp baina yao maana walikua wapenzi kisiri siri kama wangeweza kudukua wasingetoa hela wangedukua tuu...
 
Back
Top Bottom