TCRA wanatudanganya?

TCRA wanatudanganya?

Unapozungumzia suala la kulinda privacy ya mawasiliano ya mtu basi wazungu huwa mstari wa mbele sana ijapokuwa Kuna wale mashushu au maspy wao ambao ndo hutoa taarifa kama kuna ishara mbaya ya hatari.
Ishu hizi za kujuana bwana Mussa anachat nini na bibi Asha ni mambo ya Most of dictatorship yaani anakuwa hana amani ya utawala.
Hiyo encryption ya whatsapp ni moja kati ya technology bora kwa sasa katika kulinda sms baina ya watu.
Kikubwa tusirumbane bali tupeane elimu tu na kukumbuka TRCA yetu kuna limit ya vitu inaweza kuaccess sio vyote. Note that0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribuni kuelekezana kwa lugha ya kawaida tu wote tuna nia ya kuelewwshana
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wakiambiwa hii mifumo inadukuliwa kirahisi wanadhani tunazungumzia kisiasa kwamba tuko upande wa govt kuwaingilia falagha zao!!
But mfumo wowote unachezewa easy kabisa!
Mfumo wa Whatsapp kwa njia yoyote hauwezi chezewa!.. Wanaochezewa ni Mtumaji na Mpokeaji!.
Kinachofanyika ni kuroute mawasiliano kwenda third party kati yao as A anatuma kwenda B but mnamdanganya A kuamini katuma kwenda B but kumbe katuma na kwenda C (man in the middle) au kumfanya B aamini anapokea toka A kumbe B akipokea toka A somehow C yupo pembeni naye anapokea!.
Whatsapp haidukuliki, wanaodukulika ni WATUMAJI na WAPOKEAJI!.
 
Asante kwa kutupa chakula cha ubongo maana kulikuwa na ndugu zetu wanadhani TRCA wanaweza kufungua mfumo wa Whatsapp Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kutupa chakula cha ubongo maana kulikuwa na ndugu zetu wanadhani TRCA wanaweza kufungua mfumo wa Whatsapp Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
TCRA hawana ubavu huo, wala mtu yoyote zaidi ya whatsapp iwapo kama wameweka backdoor kwenye mfumo wao!..
Whatsapp inaweza dukuliwa iwapo mmoja kati yenu atakuwa hatumii Whatsapp original, yani A ana whatsapp official but B ana whatsappGB/OGwhatsapp etc. Hapo hakuna end-to-end encryption. Na wao kwenye statement yao wamekwambia kabisa!..
 
Ndo maana napenda mambo kama hizi sio mtu anarukia hoja bila kuleta mambo ya msingi.
Nasikia kuna makampuni yanawalipa watu endapo ukiweza kudukua mawasiliano yao sasa hapo ndo utajua TRCA yetu inaweza kufanya vitu gani haswa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shambulio la Vilipuzi London na Köln kati ya mwaka 2015 na 2017 washambuliaji waliwasiliana kupitia WhatsApp na hili liligundulika kutokana na simu walizotumia kutupwa kandokando mwa barabara na application iliyopatikana humo ni WhatsApp, call log haikuwa na namba yoyote pia WhatsApp meseji zilikuwa zimefutwa.

Serikali ya UK iliitaka WhatsApp itoe data hizo lakini WhatsApp walisema hawana data za mtumiaji yeyote.
Vitu kama hivi hawa IT wetu wa Tanzzania hawataki ku explain,wanatutisha na maneno yao ya kejeli na dharau.
Mku anakwambia ku hack whatsapp ni easy tu.Sasa mimi nashindwa kuwaelewa.
 
Mkuu hebu tueleze ni jinsi gani jamaa hatoweza kudukua watsapp?.
inategemea what do they want to hack,system are text . kama system sasa tunazungumzia IOS and AndroidOS.. kama ni text ni kazi bure to hack over secure channel ni kupoteza muda utapata ni number na miherui isiyokuwa na maana
 
Vitu kama hivi hawa IT wetu wa Tanzzania hawataki ku explain,wanatutisha na maneno yao ya kejeli na dharau.
Mku anakwambia ku hack whatsapp ni easy tu.Sasa mimi nashindwa kuwaelewa.
IT bongo ni wengi kwa vyeti na wachache kwa uhalisia. IT ya bongo ni second grade kwa mwenye uelewa wa ki-second grade, ukihitaji IT jaribu Kenya, Rwanda au South Africa, Namibia na Angola.

Nilichogundua wengi wanaishia kuwa IT badala ya kujiendeleza hadi Computer Science (Qualified Programmers).
 
Mfumo uliotengenezwa whatsapp baada ya facebook kuinunua unafanya isiwezekane kudukuliwa..

Watu wanadhani kuweka app ya kuona mesej za mtu kwenye simu yake ndiyo kudukua,..

Yani hata iweje hakuna mtu yeyote duniani ataona meseji zako na mtu unaechat nae bila kuishika simu yako..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Kweli.
 
Back
Top Bottom