TCRA wanatudanganya?

Labda walimaanisha sms. Hiyo lugha ya encryption kwanza inawezekana kwa watanzania karibu asilimia 99 hawajui maana yake.

Kama unamambo yako tumia whatsap hata kwenye mawasiliano ya sauti . Hapo katikati watu wataaona vumbi tu linatimka.

Mtu mwenye uwezo wa kujua nini kimeongewa ni mmiliki wa whatsap mwenyewe labda aamue kukuchoma. Na hakikisha unadelete upuuzi wowote kwenye simu yako.

Ndio maana tuna sisitiza weka nywila madhubuti kwenye kifaa chako cha mawasiliano kwa usalama wako japo wengine wanamitazamo ya kijinga kuwa inamaanisha umalaya. Pia nafikiri sheria (na policy nyingi za taasisi kuhusu mawasiliano) inasema kifaa chako kikitumika kutuma mambo yasiyo faa wewe mliliki utawajibika! kwa hiyo linda simu.
 
Km nliskiliza vizuri rais alitoa km changamoto ( kwamba ule mtambo uweze kudhibiti hata mawasialiano ya whatsapp nk)

Hakuna mfumo wa mawasiliano ambao upo 100% salama(fact)


Udukuzi unaweza fanyika katika maeno matatu..
1 kwenye chanzo(source)
2 kwenye kusafirishwa/mawimbi etc
3 kwa mtumiaji wa mwisho(destination).

Whatsapp kwa mfano encryption inafanyika kwenye source na inapofika destination ina kuwa decrypted...
Sasa inawezekana source au destination device ikadukuliwa na mawasiliano yakapatikana kama kawaida.
Sii lazima kuuingilia mtandao wa whatsapp wenyewe.

Mitandao pamoja na ulinzi wake.. imetengenezwa na binadam na hao hao wanajua jinsi ya kuingilia
As long as u have the appropriate tools and algorithm
Nawasilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika vizuri lakini haupo sahihi...
Itakuwaje udukue wakati hata operator hawezi... Third part!! Mi naona ni sawa na mtu anayetengeza kitasa then anatupa funguo za kile kitasa...
 
Hata kama unaweza kudukua sio rahisi kama unavyodhani ndio maana mpaka sasa haijawahi dukuliwa whasap.wewe unachukulia vitu rahis sana
You done it all mkuu!

Watu wakiambiwa hii mifumo inadukuliwa kirahisi wanadhani tunazungumzia kisiasa kwamba tuko upande wa govt kuwaingilia falagha zao!!

But mfumo wowote unachezewa easy kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amini amini nawaambieni,
Whatsapp sio salama sana kama mnavyodhani. Ukiandika meseji ukafuta wenye mitambo yao wanaweza kuiona endapo wakitaka, ni wao tu kua na simu yako.

Hii hutokea kama wanahitaji ushahidi fulani, nawe umekamatwa mhanga kwenye hilo tukio, niishie hapo tu.
Huko sio kudukua mkuu.
Unafahamu maana ya kudukua?
 
Hajui lolote huyu, anafikiria ku-install spy apps kwenye simu ya demu wake ndio udukuaji. Sasa si kila mtu angekuwa hacker 😂😂😂
Achana naye misifa huyo, mkumbuashe lile tukio la kigaidi Marekani. FBI waliwaomba Whatsapp wafunguwe end-end sms za mtuhumiwa, walikataliwa, ikabidi mpaka mtuhumiwa mwenyewe alipotoa ridhaa...
Wengine kujifanya ma-hacker kumbe ni apps za Google play tu?!
Au wengine hawajuwi hata programming in deep ila ile kujuwa tu ku-operate PC wanajiona ndiyo wenyewe! Bure kabisa...:(:mad::confused:
 
Back
Top Bottom