Au hiyo mitambo yao ni ya aina gani?Nilisikia wakati wa uzinduzi kuwa sasa TCRA wanamitambo inayoweza kupata mawasiliano yote ya ndani na yale ya kimataifa!!
Naona kwa hili la Whatsapp hawataweza!
Bora wawe wazi kuwa kuna mawasiliano mengine hawataweza kuyadukua. View attachment 1000243
Unajua maana ya end-to-end encryption wewe. Wacha sifa za kijingaUsiwe mweupe kichwani
WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
Acha ujingaUsiwe mweupe kichwani
WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
Siyo kweli ukidukua msg hutoweza kuisoma yatakuja madude yasiyoeleweka, au ukiidukua ina jidestructUsiwe mweupe kichwani
WhatsApp yako hata Mimi nadukua.
As long as unatumia mitandao/simu haupo salama.
Ujinga upi?Acha ujinga
Aliekuambia whatsapp inadukuliwa nani?Ujinga upi?
Kuwa mstaarabu na màoni ya watu.
Watu weusi bhana.Aliekuambia whatsapp inadukuliwa nani?
Watu weusi bhana.
Haya mambo yapo juu ya upeo wako!
Kwahiyo unadhani upo salama!
Idiot.
Huyo jamaa amevuta bangi achana naeAliekuambia whatsapp inadukuliwa nani?
Ujinga upi?
Kuwa mstaarabu na màoni ya watu.
Heeeh sifa zipi?Unajua maana ya end-to-end encryption wewe. Wacha sifa za kijinga
Adukue tuone.
Hajui lolote huyu, anafikiria ku-install spy apps kwenye simu ya demu wake ndio udukuaji. Sasa si kila mtu angekuwa hacker 😂😂😂Basi kila kitu kinadukuliwa haya