PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 9,114
- 29,960
Kwa hiyo vifurushi vingine viondolewe, siyo? kila mtu anunue kwa uwezo na matakwa yake.....tangu lini tumeanza kupangiana maisha humu JF.....Nunua compact plus uinjoy maisha, binafsi na enjoy sana na dstv
Kuanzia robo final waliondoa mkuu. Wakahamishia kile Cha 29900Braza kifurushi cha bomba ndio kile cha 19000? Mbona channel namba 224 (La Liga) ilikuwepo na ndio iliyokuwa inaonyesha EURO!
Usanii wao Mimi nauona kwenye kukosa kutupatia local channels.kwingine wako poa kulingana na matarajio yangu.Usanii huu wa DStv utaendelea mpaka lini? Au kwasabb serikali yetu ni dhaifu ndiyo maana mnafanya mnavyotaka?
Leo wameondoa channel namba 228 (super sport variety) Kwa vile Tu mashindano ya Olympic yataanza kesho kutwa!! Huu sio uungwana na ni wizi wa mchana tena ni usanii mtupu, haiwezekan tumelipia kifurushi ambacho hiyo channel inakuwepo alafu ghafla mnaondoa.
Kwa hiyo vifurushi vingine viondolewe, siyo? kila mtu anunue kwa uwezo na matakwa yake.....tangu lini tumeanza kupangiana maisha humu JF.....
49,000/= kila mwezi ni nyingi SanaNunua compact plus uinjoy maisha, binafsi na enjoy sana na dstv
Hiyo channel IPO Kwenye kifurushi ninacholipia kila mwezi sasa kama wameona kuna gharama ya kuonesha Olympics basi wangeleka basi Kwenye vifurushi vyao vya pesa ndefuWhy unalazimisha upewe huduma haipo kwenye uwezo wako?
Tcra wafanyaje?Wakulipie kifurushi cha juu zaidi?...
Waliniacha wakatoa baada ya week mimi ni muhanga wa hilo hata jirani yangu pia ikatulazimu kuongeza pesa tenaBraza kifurushi cha bomba ndio kile cha 19000? Mbona channel namba 224 (La Liga) ilikuwepo na ndio iliyokuwa inaonyesha EURO!
Bro huu mchezo dstv wanao nao sana mfano kwenye euro walivyotufanya kwenye channel 224Why unalazimisha upewe huduma haipo kwenye uwezo wako?
Tcra wafanyaje?Wakulipie kifurushi cha juu zaidi?...
Kumbe?Kuanzia robo final waliondoa mkuu. Wakahamishia kile Cha 29900
Jamaa ana hoja ila umejibu kama Lameck Madelu🚮🚮Why unalazimisha upewe huduma haipo kwenye uwezo wako?
Tcra wafanyaje?Wakulipie kifurushi cha juu zaidi?....
Walizima siku ya fInal italy vs eng ni wahuni sana hawa hata hivyo nimeshaweka pemben kisimbiz chao falaaa san hawaBraza kifurushi cha bomba ndio kile cha 19000? Mbona channel namba 224 (La Liga) ilikuwepo na ndio iliyokuwa inaonyesha EURO!
The boss anajibugi poa hila katika hili kachemka, dstv wamekuwa wana ujinga ujinga mwingi sana sikuizi yani mda wowote wanaweza hamisha channel wakijisikia.Um
Jamaa ana hoja ila umejibu kama Lameck Madelu
Bora kwako ulifika final mm waliitoa usiku game ya 3 ya makundi England vs Czech ghafla tu wakanipa kazi ya kuongeza pesa usikuwalizima siku ya fInal italy vs eng ni wahuni sana hawa hata hivyo nimeshaweka pemben kisimbiz chao falaaa san hawa
Sion haja ya hawa watu,,,hawafai hata kidogoBora kwako ulifika final mm waliitoa usiku game ya 3 ya makundi England vs Czech ghafla tu wakanipa kazi ya kuongeza pesa usiku