TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

Kwa jambazi mbowe mkuu. Hukutakiwa kutumia neno Kali kama hilo wakati mnatutaka kuchangia kwa staa.
Kwani huo ni uongo? Yeye si ndio alishindwa kulipa kodi pale kwenye disco lake (Bilicanas) au hufahamu? Unajifanya hujui ehe? Licha la hilo yeye ndiye alituuzia Jambazi Sugu, yaani unakubalije kununua mbuzi kwenye gunia?
 
I
Wataifungia je? hicho kitu kiko nje ya uwezo wao.
Wao hawajui domain name ni nickname tu, sasa watafungua je? usomi mwingine unatia huruma na hasira. TCRA wanafanya mambo kama hawajaenda shule kabisa.
Inabidi wafuate maagizo ya wanasiasa la hasha watumbuliwe kama mafuru
 
Mkuu unachema Tanzania tuna viongozi uchwara, sasa wewe kwa nini unakomalia Tanzania si uende huko kwenye viongozi ambao si uchwara? Some people, mmekalia jazba tu, hao viongozi ndio wamechaguliwa whether you like it or not.

Nani alikuambia me naishi Tanzania??niishi nchi ambayo viongozi wake uchwara wana decide mambo bila kufikiria......viongozi wasiopenda kukaa na kufikiria wala kujua wanachofanyaaa.....tunahitaji viongozi wanaojitambua na kujua wanachofanyaaa Tanzania ni nchi huru
 
Mkimaliza huu Mjadala turudi kwa Ben Saanane na Miili saba.
 
Nani alikuambia me naishi Tanzania??niishi nchi ambayo viongozi wake uchwara wana decide mambo bila kufikiria......viongozi wasiopenda kukaa na kufikiria wala kujua wanachofanyaaa.....tunahitaji viongozi wanaojitambua na kujua wanachofanyaaa Tanzania ni nchi huru
Sasa kama huishi Tanzania pili pili iliyo Tanzania inakuwashia nini?
 
Unachekesha.

Eti hawawezi kuifungia. Hivi unajua maana ya serikali wewe?

Ni shauri tu kwamba sisi memba wa huu matandao tujifunze kuwa wakosoaji na sio watukanaji.
Ndiyo hawawezi...
 
Hawa wa ajaabu kweli wasomi wa TCRA, zero kabisa.
Sasa mfano google wakitaka kuleta baadhi za service zao Tanzania mtawalazimisha wafute .com yao iliyoko nchi zote ili wa comply na .tz ya Tanzania. Ama wahamishe server zao zilizo huko duniani wazilete Tanzania??

Mtawalazimisha HUAWEI wabadili .com yao iliyoko huko duniani ili waweke dotz. ama Ericsson.com. Hivi humo TCRA kuna nini?

ama to be very specific, mtamulazimisha dangote afute .com iliyo nchi zingine ili aweke .com ya Tanzania. Huu ni ujuha wa wasomi wetu wa kiwango cha juu.
Huwezi pata wawekezaji kwa ku complicate vitu ambavyo viko obvious.
Mfano mwekezaji ana makampuni ktk nchi 100 mtamlazimisha kila nchi awe na domain name tofauti. Huu ujinga kweli tena wa hali ya juu.

Yani wasomi wazima mna risk kutafuta 25,000/= ili mpoteze uwekezaji wa mabilioni? Hakuna mwekezaji atayekuja kuwekeza kwa usumbufu huuu wa ajabu kabisa. Akisoma tu hizi habari anaacha kufikiria hata kuwekeza Tanzania.

Aachaneni na mambo ya kijima yaliyopitwa nawakati. hiyo sheria ya kulazimisha url ni sheria ya wakati wa ujima wa ulindi na ulimbombo.

Kama hii lesseni mtu amemaliza UDSM anaadika software yake unamwambia eti kuiweka sokoni alipe $10,000. Ha ha ha Hapo usham block harafu unakuja kumhubiria atumie utaalamu wake kujiajiri. On fee zao hapa
https://www.tcra.go.tz/images/documents/licensing information/licensingFees.pdf
Mkuu nadhani haya yote wanayajua lkn hawezi kupinga maagizo
 
Mkuu hizi leseni sio zinawekwa tu, inategemea na biashara unayoanya, mbona naona zipo za bure vile vile? Kama vipi unaweza kufafanua ni ipi maana ya USD 5000 ni nationally. Then mara nyingi hizi zinapowekwa wanaangalia uwiano na nchi zingine, unaweza kutoa specifics na thamani ya biashara baada ya mwaka moja?
Exactly.

Hizo fees inategemea na biashara ambayo iko katika kundi la Electronic and Postal Communication.

Tatizo kama nilivyosema, watu wanaongea kisiasa badala ya kisheria.

Hizi fees ukiangalia hata kwenye nchi zingine utagundua uwiano wake na sababu za uwepo wake.

Mbaya zaidi, watu wanailalamikia TCRA wakati wao ni wasimamizi wa sheria na sio watungaji wa sheria.
 
Mkuu nadhani haya yote wanayajua lkn hawezi kupinga maagizo
TCRA,wanaua uchumi wa nchi. Huwezi mlazimisha mtu anunue url Tanzania kwa 25000 wakati anaweza pata kwingine kwa 5,000. Unapompunguzia mwananchi wako purchasing power unaiminya nchi yako mwenyewe.
Unapowawekea vikwazo wananchi wako wasifanye biashara unaua Taifa. kwa sheria za ajabu ajabu.
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Exactly.

Hizo fees inategemea na biashara ambayo iko katika kundi la Electronic and Postal Communication.

Tatizo kama nilivyosema, watu wanaongea kisiasa badala ya kisheria.

Hizi fees ukiangalia hata kwenye nchi zingine utagundua uwiano wake na sababu za uwepo wake.

Mbaya zaidi, watu wanailalamikia TCRA wakati wao ni wasimamizi wa sheria na sio watungaji wa sheria.

Nchi gani inayokudai ku run application yako utoe $10,000? na application ujue hai run kwenye bare metal, itahitaji tena switch gears uzilipie $$$ 5000. Ha ha ha
Hapo hapo anunue hizo server kutoka US, china alipie crazy income tax. Harafu utegemee Mhitimu wa UDSM ajiajiri kirahisi?
Uhuni huo, TCRA wanaua uchumi wa nchi.
 
Hayo mashtaka yanaleta mantiki?
Kazi ya kufahamu kisheria kama mashitaka yana mantiki au hayana mantiki niya mahakama.

Mimi sio hakimu na kwa maana hiyo siwezi kutoa jibu sahihi

Suala la kisheria siwezi kuanza kulijadili kisiasa ndio maana hata wabunge hawaruhusiwi kisheria kuanza kujadili bungeni suala ambalo liko mahakamani.
 
Hakuna biashara inayofanywa bila kuwepo utatatibu wa wa kisheria
 
Kazi ya kufahamu kisheria kama mashitaka yana mantiki au hayana mantiki niya mahakama.

Mimi sio hakimu na kwa maana hiyo siwezi kutoa jibu sahihi

Suala la kisheria siwezi kuanza kulijadili kisiasa ndio maana hata wabunge hawaruhusiwi kisheria kuanza kujadili bungeni suala ambalo liko mahakamani.

Alichofanyiwa Max leo unaona ni sawa?
 
Nchi gani inayokudai ku run application yako utoe $10,000? na application ujue hai run kwenye bare metal, itahitaji tena switch gears uzilipie $$$ 5000. Ha ha ha
Hapo hapo anunue hizo server kutoka US, china alipie crazy income tax. Harafu utegemee Mhitimu wa UDSM ajiajiri kirahisi?
Uhuni huo, TCRA wanaua uchumi wa nchi.
Mkuu;
Unafahamu maana ya International gateway facilities such as Earth Satellite Station, VSAT, Submarine cable, Switching Centres ambazo application fee yake ni $10,000.

Naomba unipe mfano wake.

Naomba tuongee katika uhalisia. Hivi unategemea mwenye biashara ya earth satellite station atakosa $10, 000.
 
Mkuu;
Unafahamu maana ya International gateway facilities such as Earth Satellite Station, VSAT, Submarine cable, Switching Centres ambazo application fee yake ni $10,000.

Naomba unipe mfano wake.
Sijaelewa swali lako rephrase vizuri nikuelewe.
Mimi nazijua kwa kiwango kizuri sana hizo terms ulizoweka hapo juu kuliko unavyofikiria.
 
wanafanya mambo ya ajabu ya kitoto na yasiyo ya kisomi kabsa..utazani wameajiriwa majini pale.nchi bado uchumi wake mbovu ivyo ilitakiwa kuwa na mazingura /sheria rafiki na wawekezaji.
 
Back
Top Bottom