TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

google nayo iifute tz kwenye internet halafu tubaki ttcl yetu tu tena ile ya wire kutoka Dar hadi mza na zile simu zetu inatutosha sana

Mkuu uzuri wa google wenyewe ni international na wana list ya nchi zao ikiwa Tanzania unaweza ku click then inakupa co.tz moja kwa moja ila kama hutaki unaweza kuendelea kutumia .com
 
Members wengi hapa hawawezi kukuelewa tulipoanza JF ilikuwa JF ya kiukweli sasa hivi imevamiwa na hawa viwavi kutoka kwa Jambazi sugu na Mbowe hawawezi kukuelewa wacha waisome number. Hakuna serikali yoyote ulimwenguni inayokubali uhunu na upuuzi ambao unatokea JF. Uzushi na umangimeza umetawala siku hizi zaidi, tubadilike waungwana sivyo JF itakuwa marehemu soon than later. Members ambao walikuwa wanatoa michango ya maana wengi wamejiweka kando kwa kile kinachoendelea hapa.
Acha kukashifu wengine changia kiungwana. Haya mambo hata wasio na ukada hawayawezi mkuu.
 
Hawa ni serikali mkuu wakiamua hata kesho asubuhi wanaweza kuifunga na kuifuta kabisaaaaaa mbona kipindi fulani waliiweka Jamiiforums down...wakiamua wanaweza sema wanafata sheria now

Wana sheria za ajabu ajabu , zinazowanyima wananchi purchasing power , kwa kuwalazimisha vitu vya ajabu ajabu. Sasa domain name ni nickname tu naweza nisitumie domain name nikatumia IP address tu watafungia vipi IP address. Hawawezi, waki block IP adress nabadili IP address.
 
Mkuu hizi leseni sio zinawekwa tu, inategemea na biashara unayoanya, mbona naona zipo za bure vile vile? Kama vipi unaweza kufafanua ni ipi maana ya USD 5000 ni nationally. Then mara nyingi hizi zinapowekwa wanaangalia uwiano na nchi zingine, unaweza kutoa specifics na thamani ya biashara baada ya mwaka moja?

Thubutu,
Bila leseni utaanza je kazi. Software leseni una mdai $$10,000 . New starter kweli. it's mad.
 
Aya mambo ya Kuzungumzia Mambo kama hayo

Wenzenu Hawapendi

Tena wanachukia vibaya sana

Ila Wajomba mnatifua Mambo nyie Duuuuu
 
Thubutu,
Bila leseni utaanza je kazi. Software leseni una mdai $$10,100 . New starter kweli. it's mad.
So what? Mbona kuna biashara unatakiwa ulipe USD 2 million? Unafikiri walioweka hizo sheria ni wajinga?
 
Kwahiyo kosa la Max ni kutotoa taarifa kila mwezi. Kuna uhakiki wa jambo hilo?

Na hilo ni kosa la kuzuiwa siku 3 mahabusu?

Na kwa muda gani JF haikutoa taarifa, na kwa muda wote huo hatua gani zilichukuliwa?

Je, Polisi walitaka ushirikiano huo wa taarifa au walitaka majina?

Jamani tuweni wakweli wa nafsi zetu na wengine. Hiki kinachofanyika ni kutafuta namna tu ya ku frustrate watu kwasababu wana maoni tofauti. Mbegu inayopandwa ya chuki na iliyomea ni ngumu kuikata. Haina masilahi kwetu sote bali ni idhara na madhila

Ndiyo maana leo kuna blog mbili zimesifiwa, si kwasababu ya ubora bali kushangilia kila kitu, kupiga picha za wakubwa, na kunukuu maneno. Hakuna critic. Hizo ni pendwa

JF kwa ukubwa wake katika nyanja zote inaonekana kikwazo.

Na hilo ndilo linapelekea kutafutwa sababu za kumkamata Max.

Wanaogopa kesi iliyoko mahakamani, wanatafuta visababu visivyo na mashiko.

Mafuru Laurence alisimama na kusema anachoamini ni sahihi, amelipa gharama.

Wengine wanasimama na matumbo yao, wanahadaa umma

Hawa ndio wasomi tunaowaita 'ndiyo mzee'

[HASHTAG]#freemacencemelo[/HASHTAG]
Ni wapi nimesema kosa la Max ni kutotoa taarifa kila mwezi?

Makosa ya Max yameelezwa kwenye hati ya mashitaka na unatakiwa kuitafuta. Kuna member aliweka humu hati ya makosa ya Max.

Mbaya zaidi unaanza kuniuliza maswali ambayo majibu yake yako kwenye uongozi wa Jamii Media. Jamii Media ndio wanaofahamu kama walitoa taarifa, ushirikiano wao na TCRA na Polisi.

Mimi nimetoa ukweli wa sheria ya The Electronic and Postal Communication Act (CAP. 306).

Tatizo kuna watu wanajadili sheria kwa kutumia jaziba na siasa wakati sheria haina nafasi kwa vitu kama hivyo.

Je, kwenye hiyo kesi mahakama iliweka injunction?

Kuwa na kesi ambayo mahakama haijaweka injunction hakuwezi kuzuia next course of action.

Haya unayoyasema ya kufrastrate watu, kupanda mbegu ya chuki na blog kusifiwa ni hisia zako ambazo hazina nafasi katika ulimwengu wa hoja mbadala.
 
Mkama vipi tena? Nilidhani unapokula Pilipili unajua ukali wake. Sasa kuanza kulalamika kuwa Pilipili ni kali, si sawa. Ukila Chili basi jiandae ulimi kuwaka moto.
Pole sana hata hivyo. Pole zaidi kwa Max Mello. Wanasema Chuma ili kiwe imara zaidi basi inabidi kipite kwenye moto. Tanzania atakumbukwa hadi na vizazi vijavyo kuwa alibadililisha Mitandao East Africa.
Hawa wa ajaabu kweli wasomi wa TCRA, zero kabisa.
Sasa mfano google wakitaka kuleta baadhi za service zao Tanzania mtawalazimisha wafute .com yao iliyoko nchi zote ili wa comply na .tz ya Tanzania. Ama wahamishe server zao zilizo huko duniani wazilete Tanzania??

Mtawalazimisha HUAWEI wabadili .com yao iliyoko huko duniani ili waweke dotz. ama Ericsson.com. Hivi humo TCRA kuna nini?

ama to be very specific, mtamulazimisha dangote afute .com iliyo nchi zingine ili aweke .com ya Tanzania. Huu ni ujuha wa wasomi wetu wa kiwango cha juu.
Huwezi pata wawekezaji kwa ku complicate vitu ambavyo viko obvious.
Mfano mwekezaji ana makampuni ktk nchi 100 mtamlazimisha kila nchi awe na domain name tofauti. Huu ujinga kweli tena wa hali ya juu.

Yani wasomi wazima mna risk kutafuta 25,000/= ili mpoteze uwekezaji wa mabilioni? Hakuna mwekezaji atayekuja kuwekeza kwa usumbufu huuu wa ajabu kabisa. Akisoma tu hizi habari anaacha kufikiria hata kuwekeza Tanzania.

Aachaneni na mambo ya kijima yaliyopitwa nawakati. hiyo sheria ya kulazimisha url ni sheria ya wakati wa ujima wa ulindi na ulimbombo.

Kama hii lesseni mtu amemaliza UDSM anaadika software yake unamwambia eti kuiweka sokoni alipe $10,000. Ha ha ha Hapo usham block harafu unakuja kumhubiria atumie utaalamu wake kujiajiri. On fee zao hapa
https://www.tcra.go.tz/images/documents/licensing information/licensingFees.pdf
 
Mkuu uzuri wa google wenyewe ni international na wana list ya nchi zao ikiwa Tanzania unaweza ku click then inakupa co.tz moja kwa moja ila kama hutaki unaweza kuendelea kutumia .com

Hiyo ni proxy tu, google hawana server Tanzania. Nimekwambia domain ni nickname ama alias kwa wenyewe wanasema.
Inaangalia uko nchi gani inakupa alias za nchi.
 
Wana sheria za ajabu ajabu , zinazowanyima wananchi purchasing power , kwa kuwalazimisha vitu vya ajabu ajabu. Sasa domain name ni nickname tu naweza nisitumie domain name nikatumia IP address tu watafungia vipi IP address. Hawawezi, waki block IP adress nabadili IP address.

Mkuu always nasema tuna viongozi uchwara ambao hawafikirii kabisaaa......wanajifanya wasomi wakati wenzao wanaendelea na wanazidi kuwapiku zaidi bado sana enzi zile zile za zamani hawajui kitu hata kidogo....watu wengine wabatumia IP mfano me natumia IP ambayo itanisaidia kujiweka safe so watakuja kunifungia IP ngapi wakati kila baada ya mda fulani inabadilika??kwa ujumla nchi yetu bado wapo nyuma sanaa na sheria zingine wanaweka wanadhani wanawakomoa watu kumbe wanajichimbia wenyewe....
 
Maana yake haitatokea mgunduzi kuwa mmatumbi, sie tutagundua vyungu, mishale, tingatinga n.k vya maana ni vya wazungu.

TCRA wanafikiri kikoloni na wanatamani kila mtu anayeingia Dar apewe pensi jeupe na shati chini ndala. Ili masaki waishi viongozi sie tandale na tandika wao wanafanana na wazungu.

Yaani mwanasheria anasimamia vidole gumba domain isome .co.tz? Hivi hawa ndio waliogundua internet?
 
Mkama vipi tena? Nilidhani unapokula Pilipili unajua ukali wake. Sasa kuanza kulalamika kuwa Pilipili ni kali, si sawa. Ukila Chili basi jiandae ulimi kuwaka moto.
Pole sana hata hivyo. Pole zaidi kwa Max Mello. Wanasema Chuma ili kiwe imara zaidi basi inabidi kipite kwenye moto. Tanzania atakumbukwa hadi na vizazi vijavyo kuwa alibadililisha Mitandao East Africa.

hii sheria imekuwepo siku nyingi tu, kama unakumbuka hata wakati wa Jamborofums.com aliwekwa rumande hivi hivi na akabadili jina.
Ila hawwa TCRA wana sheria za ajabu ajabu hata ukiachana na hii ya Melo. Ni kama wanazuia watu kujiajiri. Utamdai je leseni mtu kuweka routers zake aanze bishara ya kujiajiri. Harafu unawahubiria wanaomaliza IT UDSM wajiajiri.
 
Hiyo ni proxy tu, google hawana server Tanzania. Nimekwambia domain ni nickname ama alias kwa wenyewe wanasema.
Inaangalia uko nchi gani inakupa alias za nchi.

Jwa hiyo wenyewe wanataka server ziwe Tanzania kwenye nchi ambayo hata hawajaendelea wanamwa sanaaa hawaaaaaa na hawajui wanachofanyaaaa....nani atakuja kuweka server Tanzania
 
Hawa ni serikali mkuu wakiamua hata kesho asubuhi wanaweza kuifunga na kuifuta kabisaaaaaa mbona kipindi fulani waliiweka Jamiiforums down...wakiamua wanaweza sema wanafata sheria now
Kuifungia wanaweza. Je Google nayo waitoe tz kwenye internet alafu tuone kama tutafanya kuchukua mpesa zetu
 
Mkuu always nasema tuna viongozi uchwara ambao hawafikirii kabisaaa......wanajifanya wasomi wakati wenzao wanaendelea na wanazidi kuwapiku zaidi bado sana enzi zile zile za zamani hawajui kitu hata kidogo....watu wengine wabatumia IP mfano me natumia IP ambayo itanisaidia kujiweka safe so watakuja kunifungia IP ngapi wakati kila baada ya mda fulani inabadilika??kwa ujumla nchi yetu bado wapo nyuma sanaa na sheria zingine wanaweka wanadhani wanawakomoa watu kumbe wanajichimbia wenyewe....

Mkuu unachema Tanzania tuna viongozi uchwara, sasa wewe kwa nini unakomalia Tanzania si uende huko kwenye viongozi ambao si uchwara? Some people, mmekalia jazba tu, hao viongozi ndio wamechaguliwa
whether you like it or not.
 
Jwa hiyo wenyewe wanataka server ziwe Tanzania kwenye nchi ambayo hata hawajaendelea wanamwa sanaaa hawaaaaaa na hawajui wanachofanyaaaa....nani atakuja kuweka server Tanzania

Server utaweka je Tanzania? angalia TTCL bei yao 100Mbps wa charge milion 70 per month. Wakati 100Mbps mtu ananunua kwa $50. Yani new starter ataanza je alipe milion 70 kwa mwezi na bado ma ada leseni ya TCRA? Hawa TCRA wanaua uchumi , wamulikwe zizuri.
Sijui datacenter yao Tanzania wanalipisha ngapi? Hii precisely TCRA wanaua IT na skills za watanzania.
 
Members wengi hapa hawawezi kukuelewa tulipoanza JF ilikuwa JF ya kiukweli sasa hivi imevamiwa na hawa viwavi kutoka kwa Jambazi sugu na Mbowe hawawezi kukuelewa wacha waisome number. Hakuna serikali yoyote ulimwenguni inayokubali uhunu na upuuzi ambao unatokea JF. Uzushi na umangimeza umetawala siku hizi zaidi, tubadilike waungwana sivyo JF itakuwa marehemu soon than later. Members ambao walikuwa wanatoa michango ya maana wengi wamejiweka kando kwa kile kinachoendelea hapa.
Kinachosikitisha zaidi ni member wenye uelewa mpana katika masuala mbali mbali kukubali kushindwa na wajinga na kuamua kulikimbia jukwaa.

Kwa sasa jukwaa limejaa michango ya watu ambao hawajui kama hawajui huku wengine wakifundishana ujinga.
 
Hakuna sheria upande mmoja. Kinachofanyika kwa Max na Lema havipo katika misingi ya sheria. Mara ngapi sheria kubwa kama katiba imesiginwa na wewe umekaa kimya?

Manataka sheria ili kuendelea kumuandama Max, hiyo ndiyo sheria. Hamfuati sheria 'to the letter' manageuza geuza hadi katiba haifuatwi.

Tafadhali kama huna la kusema kaa kimya, kuna ghadhabu kwa jamii

Tunatumia vyombo vya umma kuwaaadhibu watu kabla ya sheria!!

Hivi kuna sheria inayosema mtu akamatwe bila kosa halafu uchunguzi ufanyike

Kaeni kimya maana mnazidi kujenga chuki kama unavyosoma mtandaoni.

Hizi chuki mnazopanda si jambo la kuchekea, ni tatizo letu sote kama Taifa

[HASHTAG]#freemacencemelo[/HASHTAG]
Mkuu chondechonde hasipokuelewa kwa hayo bhasi
 
Back
Top Bottom