TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

TCRA mnachofanya ni sio, mnadumaza nchi

Jamani kabla hamjajenga hoja jaribuni kwanza kuisoma sheria ya The Electronic and Postal Communication Act 2011 (CAP. 306). Sheria hazina siasa.

if you own a .com, .org, and your company is registered in Tanzania, then you are required to register respective .tz domain.

Sheria haikulazimishi kubadili bali inakutaka kutoa taarifa kila baada ya mwezi kama bado unaendelea kutambulika na regional Internet registry (RIR).

Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.

(2) The tzNIC shall maintain an updated National Data Base of any IP addresses in use and registered domain names in the United Republic.

(3) The tzNIC shall after every three months starting January, 2012 submit to the Authority information on the assigned IP addresses and registered domain Names within that period.

Weka na kifungu cha 10.
 
Attachments

  • regulation.JPG
    regulation.JPG
    11.8 KB · Views: 46
Mtu mwenye weledi hasubiri kufukuzwa kwa kile anachokielewa na kukiamini?

Mtu mwenye weledi hujiudhuru mapema pale anapoona na kuamini anachokiamini au kukielewa kinafanywa tofauti na uelewa wake katika kazi yake.

Huu weledi unaosema unatoka wapi?

Inawezekana mimi sifahamu maana ya weledi.

Kwamba Mafuru amekuwa benchmark. This is laughable to say the least.
Hapa hata mimi niseme ajiudhuru vipi kabla ya kujieleza, mtaalamu anaeleza facts mwanasiasa anasema ondoka hujui kitu. Ebu mfano kwa Daktari aliyeeleza zika angejiuzuru vipi kuonyesha uungwana kumbe na wewe ni walewale
 
Badala ya kutumia brains kufikiri sijui wanatumia nini. Shame kama hii habari ni kweli.
 
Mtu mwenye weledi hasubiri kufukuzwa kwa kile anachokielewa na kukiamini?

Mtu mwenye weledi hujiudhuru mapema pale anapoona na kuamini anachokiamini au kukielewa kinafanywa tofauti na uelewa wake katika kazi yake.

Huu weledi unaosema unatoka wapi?

Inawezekana mimi sifahamu maana ya weledi.

Kwamba Mafuru amekuwa benchmark. This is laughable to say the least.
Mafuru alijua atalipa gharama za kufanya anachofanya.

Angeweza kujiuzulu lakini angepata wapi forum ya kueleza anachojua?

Kasema mbele ya Camera, hakuna mfanyakazi anayepokea 40M na wala hakuna ubaya wa kuweka fedha katika fixed account. Alisema akiwa na sababu na alisimama na hilo

Awe right au wrong hakujali nafasi yake, alijali kile alichosema kutokana na weledi wake

Mafuru angeweza kusema 'ndiyo mzee' na yakaisha. Yes ni benchmark
 
Mbaya zaidi wanapeleka nafanyakazi wao nje kujifunza sijui wanajifunza nini huko
 
Wasomi wa ajabu sana, Wanataka yote mwishowe watakosa yote!.

Wanataka watumie hiyo domain ili eventually wawe na power za kuthibiti mitandao hiyo. Lakini repercusions zake ni kubwa, eventually wanatuisolate kama north Korea!
wanazibitije na .tz , hakuna kitu wamekurupuka .
 
Wewe umesajiri Kampuni Dar, umeomba leseni Dar, unataka Sheria na masharti ya biashara zitumike za Sweden!!! Max hama nchi kasajiri kampuni yako India
 
Mtu mwenye weledi hasubiri kufukuzwa kwa kile anachokielewa na kukiamini?
Heko MsemaUkweli, leo kwa mara ya kwanza hata mimi nimekubaliana na kauli yako hii. Mtu mwenye weledi hasubiri kufukuzwa kwa kile anachokieewa na kukiamini.
Mtu mwenye weledi hujiudhuru mapema pale anapoona na kuamini anachokiamini au kukielewa kinafanywa tofauti na uelewa wake katika kazi yake.
Sawasawa, mtu mwenye weledi hujiuzulu mapema pale anapoona na kuamini anachokiamini au kukielewa kinafanywa tofauti na uelewa wake katika kazi yake.
Huu weledi unaosema unatoka wapi?
Je weledi wa mtu kama Magufuli unatoka wapi? Kwa miaka zaidi ya ishirini amekuwa bega kwa bega na viongozi waliolifikisha taifa hapa lilipo. Wakati wa Mkapa akiwa waziri ni yeye ndio alisimamia uuzwaji wa nyumba za serikali hadi akaamua kuifanya hiyo kazi peke yake bila kumhusisha mtu. Mwishowe tunaambiwa akawa anazigawa kama njugu kwa ndugu na washikaji wake.
Inawezekana mimi sifahamu maana ya weledi.
Nakuunga mkono, inawezekana kweli wewe hufahamu maana ya weledi kwani kwa ufisadi uliofanyika awamu ya nne Magufuli angekuwa na weledi angejiuzulu kitambo.
Kwamba Mafuru amekuwa benchmark. This is laughable to say the least.
Kwamba kwa sasa Magufuli ndiye trend-setter hiyo haikushtui. Kama ya Mafuru is laughable sijui ya Magufuli niiteje...humorous, ludicrous au preposterous? Chagua mwenyewe. Unafiki ukikutawala, hata akili zinahama.
 
TCRA wanauwezo wa kuifunga jamii forum tz lakini inchi nyingine duniani zikaendelea kupatikana sasa nasikia Kuna njia ya Ku access hata kama wataifungia
wakiifunga hapa na ikawa inapatikana nje, dawa ni kutafuta vpn service moja unailipia kabisa afu unakua unapita humohumo kwenye firewall zao walikoweka filtering[emoji13] [emoji13]
 
Unaongea theory
"Sheria inasema hivi;
11.(1) -All entities assigned with internet resources by the Regional Internet Registries (RIRs) shall submit to tzNIC on a monthly basis both assigned and in use Internet Protocol (IP) addresses.
"

Maana ya nyeusi hapo inakutaka effectively server zako ziwe Tanzania. Sasa Ericsson walio na server zao Sweeden hawawezi pata IP address iliyoko Tanzania. Hawa ericcson itawabidi wahamishie server zao Tanzania. Which is ni kumfukuza asije kabisa.

Nani atafanya ujinga huu. Aache kufanya biashara sehemu zenye uhakika wa umeme alete huku gizani. Never
 
Not yet convinced. Na hoja yako kwamba wanakubali any ip address. Kama ndivyo basi hiyo sheria haina maana wameweka hapo kuongezea makaratasi tu
 
wakiifunga hapa na ikawa inapatikana nje, dawa ni kutafuta vpn service moja unailipia kabisa afu unakua unapita humohumo kwenye firewall zao walikoweka filtering[emoji13] [emoji13][/QUOTE

JF tu kwenye server zao wanaeble vpn server. Kila simu ina vpn client una access kawaida tu. Ha ha ha.
Ndiyo mimi nasema hii sheria ni ya maajabu ajabu kwa wasomi kujikita ktk kushindana na teknolojia badala teknolojia ituwezeshe kujikwamua kimaisha
 
Tutaandika mengi yataishia hewani,uhuru unaminywa,post nyingi zitapotea
 
Tutaandika mengi yataishia hewani,uhuru unaminywa,post nyingi zitapotea
 
Wewe umesajiri Kampuni Dar, umeomba leseni Dar, unataka Sheria na masharti ya biashara zitumike za Sweden!!! Max hama nchi kasajiri kampuni yako India
Wewe waja kweli, url ni tofauti na kampuni. Url haiko regulated kisheria na nchi yoyote duniani isipokuwa Tanzania tu, tu sad.
Harafu kampuni ina branches nchi nyingi hapo una maana mfano HUAWEI wawe na url 200 kila nchi yake. It's mad.

Harafu maana ya nchi kukua kiuchumi moja ya indicator naamini ni time to market. Si huu usumbufu wa url dotz.
Tatu url is nothing but inakurahisishia wewe tu kuwa rahisi kukalili otherwise unaweza tumia Ip address
Nne ku host servers zako Tanzania kwa new starters ni almost next to impossible.
Tano nitajie COLO location mbili tu zinazohost servers nchini Tanzania? TCRA wanadumaza uchumi na vipaji vya watu. TCRA wajue biashara kwa new starters ni courage ya kutake risks. Sasa huwezi kuwa na wananchi wanao take risks waliotoka chuoni kwa kuwadai leseni ya $$10,000
 
Not yet convinced. Na hoja yako kwamba wanakubali any ip address. Kama ndivyo basi hiyo sheria haina maana wameweka hapo kuongezea makaratasi tu

Again, tazama sheria in its entirety. Na hata ukifocus kwenye hicho kifungu alone, mtu anayecomply diligently (kila mwezi anasubmit ip addresses anazotumia) hana cha kuficha. Unapokuwa una sababu za kuficha information ndipo hutocomply. Kwa hiyo by itself hiyo clause ina weed out intent zisizo nzuri za assignee wa IP addresses, za tzNIC au regional authorities. A bank mwenye offshore servers ya it's internet banking system hana sababu ya kuficha ip address yake iliyo India, lakini ukimlazimisha aweke server zake hapa it's a different discussion.

That said, tukikuassign identity (domain), inawezekana sheria inaturuhusu kukuamulia unatumiaje hiyo domain name. Haijalishi ulipoweka server, unatumia vibaya a resource tuliyokupa. Ndio maana na insist kuangalia sheria nzima. Otherwise tutakuwa surprised tena na tena, kumbuka sheria imepitishwa tukiona so technically kinachotokea hakitakiwi kutushangaza. You will do well to know what you are fighting otherwise we are just chasing shadows.
 
Tu politics,
Utaficha je ip address iliyokuwa assigned kwenye domain name? Hii ndo maana tunahoji usomi wa TCRA.
DNS records ni internationally public available huwezi ificha. Unajua DNS ni nini lakini na internet ina resolve je domain name na IP ADDRESS? Too sad kwakweli.
Kwa taarifa yako andika hivi ping domain yoyote duniani utaiona IP address ya hiyo domain. Sasa hadi sheria eti upeleke kwa kitu ambacho ni public available, it's total chaos.

Harafu TCRA, kweli wanaamini mtu anaweza ficha public ip address? Kama ndivyo hawa si wasomi
 
Wewe waja kweli, url ni tofauti na kampuni. Url haiko regulated kisheria na nchi yoyote duniani isipokuwa Tanzania tu, tu sad.
Harafu kampuni ina branches nchi nyingi hapo una maana mfano HUAWEI wawe na url 200 kila nchi yake. It's mad.

Harafu maana ya nchi kukua kiuchumi moja ya indicator naamini ni time to market. Si huu usumbufu wa url dotz.
Tatu url is nothing but inakurahisishia wewe tu kuwa rahisi kukalili otherwise unaweza tumia Ip address
Nne ku host servers zako Tanzania kwa new starters ni almost next to impossible.
Tano nitajie COLO location mbili tu zinazohost servers nchini Tanzania? TCRAurl yako wanadumaza uchumi na vipaji vya watu. TCRA wajue biashara kwa new starters ni courage ya kutake risks. Sasa huwezi kuwa na wananchi wanao take risks waliotoka chuoni kwa kuwadai leseni ya $$10,000
Usijifanya kujua mbali na url yako Max .ana Kampuni, imesajiliwa Breda Tanzania, ana leseni ya biashara ya mtandao na analipa Kofi. Masharti ya biashara uwe na URL code ya bongo huwezi acha
 
Back
Top Bottom