Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu.
Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi.
Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi mitandao ilizimwa ili kuficha mauaji yanayofanyika.
Haya TCRA mmeona faida ya kufuata maagizo yasiyo ya kisheria?
Leo mnatajwa kama sehemu ya Wahalifu mliofanya Uhalifu dhidi ya Binadamu.
Mkurugenzi wa TCRA jiandae. Na wewe ni mteja mtarajiwa wa Makosa dhidi ya Binadamu pale ICC au sehemu yeyote Kesi itakapofunguliwa.
Pia soma
- Breaking News: - CNN LIVE: Evidence Tanzania Police Killed Protestors