TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

TCRA angalieni sms za Biko, Tatu mzuka, Moja bet

Mimi nilijaribu kucheza TATU MZUKA mara moja tuuu nikaachana nao.... kilichobaki sasa ni kutumiwa sms kila siku.
 
Mimi ninavyojua hawawezi kukutumia meseji kama hujawahi cheza hata siku moja ukicheza wanajua wewe ni mteja kwahiyo wanakuhamasisha .
Hizo zote mkuu ni hasira za kupunwa,wangeshinda usingeona malalamiko humu ndani..
 
Hizo zote mkuu ni hasira za kupunwa,wangeshinda usingeona malalamiko humu ndani..
Hahaa.. hii michezo inaitwa ya kubahatisha! wote wanaocheza wanajaribu ku bahatisha.. Maisha ya ku bahatisha siyo mazuri, jaribuni kuishi kwa hakika. Tuongezeni kujiamini tusipende kubahatisha.

Nime andika nikiwa nina [emoji1]!! So never mind me but take my words seriously.
 
Ukitumiwa msg ujue ushawahi cheza hiyo michezo sijawahi tumiwa text za tatu mzuka kabisa sababu sijawahi cheza ila biko nacheza sana na text zao naletewa
Aise hii kitu wanatuma tu hata kama hujawahi kucheza. Mfano mimi mwenyewe.
 
Aise hii kitu wanatuma tu hata kama hujawahi kucheza. Mfano mimi mwenyewe.
Natumia line ya airtel na tigo sijawai cheza wala sijawai tumiwa hizo sms.wanatuma kwa wacheza kamari (bahati nasibu) tu na waliowai kucheza hata kama uchezi tena.
 
Wakuu wasalaam.

Nauliza mbona kwenye platforms zingine mtumiaji ana uchaguzi wa kujitoa asiendelee kupokea meseji asizozihitaji muda huo.

Inashindakana vipi kwa hawa TCRA kuwaambia watu wa promosheni kama hawa akina BICO na wengineo kuweka sehemu ya mtu kujitoa aspate meseji za promosheni na matangazo kuepuka usumbufu usio wa lazima?

Unakaa unasikia meseji imeingia kanchaa unahamisha umakini wako ukidhani ni meseji ya msingi unakuta sijui Tatu Nzuka mara bico Nini sijui.

Huu ni Usumbufu mkubwa!!
 
Mbona mimi situmiwi au ulikua unabet?
Ni hivi kiongozi. Hutakiwi kuadhibiwa kwa kigezo cha kuwa eti uliwahi kubeti jana au mwaka juzi. Ilitakiwa waweke sehemu ya mtu kujiondoa kwenye huduma hiyo ili kama sasa hivi hataki basi asipokee tena hizo meseji.
 
Back
Top Bottom