The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 37,266
- 114,868
Kijana inabidi akazane tu kusukuma Guta lake ili azikusanye buku buku.Mapenzi ya kweli bila pesa ni sawa na kusubiri ndege magufuli terminal
Kijana inabidi akazane tu kusukuma Guta lake ili azikusanye buku buku.Mapenzi ya kweli bila pesa ni sawa na kusubiri ndege magufuli terminal
nakumbuka uliambia maneno hayo ila ukasisitizia ni kwa kizazi cha sasa ila kwako ni different 😆Mapenzi ya kweli bila pesa ni sawa na kusubiri ndege magufuli terminal
Dah,
Amka,usija ukachelewa kuwakatia nyasi Ng'ombe wa tajiri yako.leo dada hawezi kunidanganya kwa chochote kile just imagine juz apa nimemwambia future yetu inakuaje mamy akaniambia usiwe na haraka.
HaswaaGenZ wanasema pisi ya kwenda
Hapana huyo niliyemtag ni mdogo.Inawezekana dear
Hawa watu wa jf usiombe uwakosee af umejoin by 2022+
utaskia "Jf imevamiwa, hii sio ile yetu ya 2008" 🤣
Mkuu with all due respect,sidhani kama ni jambo jema au ni busara kuweka picha full hapa coz muhusika alikua ameficha sura nusu kwa makusudi na kwa sababu zake binafsi,
Hapana sio picha yake halisiMkuu with all due respect,sidhani kama ni jambo jema au ni busara kuweka picha full hapa coz muhusika alikua ameficha sura nusu kwa makusudi na kwa sababu zake,
Hii itafanya pia asitupie tena picha kwenye huu uzi.
🌹Saint ni kama id .
sawa sawa mi nailed kwenye 40 with grace
🤣🤣Mbona hata huko 2008 kulikuwa na wajinga wengi tu mzee. Kuna vijana wa ccm walkuwa wanajiita mmoja Lizaboni na mwingine jingalao, sijui walipotelea wapi.
😁😁😁😁Kwa kweli,, mi toka usichana wangu nina allergie mbaya kali sana na wasiokuwa na pesa
Hongera kwa kujitunza dear tuambie siri ya mafanikio.Saint ni kama id .
sawa sawa mi nailed kwenye 40 with grace
Waliosema mbwa akikuzoea sana utaingia naye msikitini, walishaona uwepo wa wapuuzi kama huyo.Mkuu with all due respect,sidhani kama ni jambo jema au ni busara kuweka picha full hapa coz muhusika alikua ameficha sura nusu kwa makusudi na kwa sababu zake binafsi,
Hii itafanya pia asitupie tena picha kwenye huu uzi.
Teknolojia imefika mbali, emoji hazina maana tena