Kijana unataka picha ukapigie nyetoStory sijaifatilia vizuri , macho yangu yamejikita kwenye picha , nawiwa kusema Leo dada ni pisi ya kiwango , shangazi kunesa ,mkono tu Mimi hoi😋.Tafadhali episodes zijazo picha ziwe nyingi
Naona umeamua kunipunguzia umri wangu mjukuu wangu.
Bila shaka mimi sipo kwenye hiyo list ya hao wenginewengine waongo
De mopak de evening de kuomba kazi mzee wangu, i requestKwa kawaida wanawake wakiwekwa kitengo kimoja ni shda yaan wana vituko kwa wenzao hadi raha. Pia hata kwa wanaume mda mwingi inakuwa ni kituko lakin gender tofauti ni kawaida tu na maisha yanasonga.