TBT

TBT

Humu JF kuna huyu leo dada na binti kiziwi yani hawa toka mwanzo hua nakua makini sana nikiwaquote,japo mimi ni mtu wa jokes sometimes najisahau,ila hawa Wadada wawili hua nahisi ni wadada wenye heshima zao,

Simaanishi kua wadada wengine hawana heshima zao ila automatic tu hua nahisi hawa wadada nahitaji kuwaheshimu zaidi ya kawaida.

Asante kwa kunipa heshima hiyo.
sina hadhi wala cheo lakini hii huwa inanitokea sana katika maisha yangu kupewa heshima na jamii mpka familia
 
Humu JF kuna huyu leo dada na binti kiziwi yani hawa toka mwanzo hua nakua makini sana nikiwaquote,japo mimi ni mtu wa jokes sometimes najisahau,ila hawa Wadada wawili hua nahisi ni wadada wenye heshima zao,

Simaanishi kua wadada wengine hawana heshima zao ila automatic tu hua nahisi hawa wadada nahitaji kuwaheshimu zaidi ya kawaida.
🤍 I’m humble you know (kwa sauti ya Le mbebez) 🤣

Ila mi ni jokeri mzuri tu ni basi tu lazima nimzoee mtu kwanza, i’m never a serious person hadi kwa mambo yanayohitaji kuwa serious.
 
Back
Top Bottom