Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 11,695
- 21,875
Hiyo nywele nimekumbuka bi mkubwa akiwa anazieka kichwani, sasa ukimwambia anasema huo muda sina niko busy na majukumu ya uzee 😅
Acha bangi kaka 🤣Naona umeamua kunipunguzia umri wangu mjukuu wangu.
Aani na fashion zenu za mwanamke nyonga sjui paja na mchazari mlikuwa mnatoka mchicha 😅😂 😆 😂 hii nywele ilijua kututoa sana masista duu enzi hizo.
Story sijaifatilia vizuri , macho yangu yamejikita kwenye picha , nawiwa kusema Leo dada ni pisi ya kiwango , shangazi kunesa ,mkono tu Mimi hoi😋.Tafadhali episodes zijazo picha ziwe nyingi
kazi gani bro na uko wapi kwanza.De mopak de evening de kuomba kazi mzee wangu, i request
Kijana kuna na heshima japo kidogo tu,Acha bangi kaka 🤣
Hahahaha bi mkubwa alikuwa anapenda sana urembo na fashion ko lzm utasikia akitamka na kumuona hii imenifanya nipende wanawake wanaojipenda pia hata km akiwa rafu akiwa mtu wangu ntamshepu kiainaYaani wewe kama ulikuwepo vile.
Heshima ipo mkuu, nakuheshimu.Kijana kuna na heshima japo kidogo tu,
Wewe juzi tu hapa tumekusoma ulivyokua unahangaika na Magari kwenda Dar kutafuta maisha.
Baaasiii utanipigaaa dadaNdo uache kabisa kuvamia vamia
Naishi Dsm- Kigamboni inaweza kuwa rasmi au isiyo rasmi brotherkazi gani bro na uko wapi kwanza.