Nadhani inabidi nikutolee tu laana ili kumaliza hii kesi na usumbufu.Heshima ipo mkuu, nakuheshimu.
Ila kusema una miaka 80 hapo umekula msuba 🤣🤣
Ndugu yangu we unabusara..Humu JF kuna huyu leo dada na binti kiziwi yani hawa toka mwanzo hua nakua makini sana nikiwaquote,japo mimi ni mtu wa jokes sometimes najisahau,ila hawa Wadada wawili hua nahisi ni wadada wenye heshima zao,
Simaanishi wadada wengine hawana heshima zao ila automatic tu hua nahisi hawa wadada nahitaji kuwaheshimu zaidi ya kawaida.
Hawa ndio wabongo sasa a.k.a Wamatumbi,wanaweza kujua vitu au kua na uhakika wa vitu vyako kuliko wewe muhusika.leo dada hiyo picha siyo ya miaka 18 iliyopita.
Sana Sana tukiipa miaka mingi ni labda miaka 8-10hivi.
Mkuu unajua JF tunaishi kama familia,so inakua ngumu kujua nani mkubwa na nani mdogo,Ndugu yangu we unabusara..
Afu picha za kipindi cha nyuma na uangavu damu damu mtu anafikiri picha ya Juzi km huyo chali 😅Sina hulka ya uongo,,,
Kama ni mtu wa fashion angalia msuko na nguo utapata majibu ya mwaka
Hapana, enzi hizo kusuka ilikuwa bei ndogo sana sio kama sasa
ok sitaki nikudanganye kwa sasa but nikisikia nafasi sehemu ntakwambia. Ok jah rasta farai de bomboclat de rasta de no die. Afu si ujaribu kilimo kidogo kidogo bro unaweza toka na ukaona hata kazi za watu ni miyeyusho. Mleta uzi sorry tupo nje ya mada bt it can help somebody.Naishi Dsm- Kigamboni inaweza kuwa rasmi au isiyo rasmi brother
Humu JF kuna huyu leo dada na binti kiziwi yani hawa toka mwanzo hua nakua makini sana nikiwaquote,japo mimi ni mtu wa jokes sometimes najisahau,ila hawa Wadada wawili hua nahisi ni wadada wenye heshima zao,
Simaanishi kua wadada wengine hawana heshima zao ila automatic tu hua nahisi hawa wadada nahitaji kuwaheshimu zaidi ya kawaida.
I gat you de mopakok sitaki nikudanganye kwa sasa but nikisikia nafasi sehemu ntakwambia. Ok jah rasta farai de bomboclat de rasta de no die. Afu si ujaribu kilimo kidogo kidogo bro unaweza toka na ukaona hata kazi za watu ni miyeyusho. Mleta uzi sorry tupo nje ya mada bt it can help somebody.
Haya rudia kusoma 😂Sikuona mkuu
Nataka kuona sura yako hii ngoja nifanye maujanja 😂😂😂Bora hata umenisaidia