utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 324
ilikuwa ni aibu kwa ccm maana kulikuwa na watoto na hakukuwepo na watu wa kuonyesha.kumbuka kila tukio lina implication yake ktk mapokeo.tbc waliona ni bora kutoonyesha lolote kwa ccm kwani ilikuwa ni aibu ya karne.kulikuwepo na watoto na vumbi tu.usilete hoja kama za ccm zenye genetic za uwongo na chromosomose za kifisadi.
Sasa naanza kuelewa kwa nini hawakuwaonesha magamba!