Na wewe umetumwa na nani? Hizo ni akili mgando. Mbona wenzio wanachangia vizuri tu ila wewe unakimbilia kuwa mtu katumwa!!Acha mawazo mgando.
Mimi sio mwandisha wa habari, ila hata hivyo nisingeweze kupiga picha ya helikopta yoyote tu kwasababu inapita anga la Igunga. Helikopta ya Chadema ipo well identified kwamaana inajina CHADEMA ubavuni. Ya ccm nadhani haina alama yoyote so ningumu kwa mwandishi wa habari kuchukua picha kwa kila helikopta inayopita angani kwakuwa tu ni helikopta kama haina utambulisho wa chama. Mbona hujasema CUF kinahujumiwa pia??? Hapo ndo utajua thinking ya chadema ipo mbali sana na ya CCM na chadema wapo far ahead ya ccm in creativity. CCM ni watu wa kuigaiga na kukurupuka. Sasa hivi nao ccm wataanzisha TV yao baada ya kusikia chadema wameanzisha.Sina chama mpaka sasa,but cdm mkikosa coverage kwenye tbc1 mnalalamika etic hombo kinachoendeshwa na kodi za watz kinependelea chama tawala mkipata coverage tatizo,nahisi kama mkipata nchi mtalipiza kisasi sana,naomba kitokee chama chenye muunganiko wa ccm,cdm,cuf na tlp ntajiunga nacho..
Soma takwimu za tafiti uone TBC na Daily News ambazo ni state media zinazoendeshwa na kodi ya nchi zinavyoipendelea magamba. Sasa wewe kutoka ktk single observation ya jana tu umekimbilia kuconclude TBC wanaibeba cdm wakati picha kubwa ni kinyume chake.
jana saa mbili usiku nilikuwa nikiangalia taarifa ya habari ya tbc1 na habari kuu jana ilikuwa ni kutua kwa mahelkopita huko igunga kwa ajili ya kutumika katika mikutano ya kampeni. Tbc1 walionyesha helkopita ya ccm ikitua na makamba akapokelewa na mwigulu na watu wengine. Kisha ikaonyeshwa kwa ufupi sana mwigulu akihutubia na kisha makamba akasikika akisema maneno mawili matatu tu basi. Pia tbc1 haikuonyesha umati wa watu ambao hao viongozi wa ccm walikuwa wakihutubia!! Kwa kifupi coverage kwa ccm ilikuwa kidogo sana.
Kisha nikashuhudia coverage ya chadema. Walianza kuonyesha helkopita ikiwa angani na maneno chadema yakionekana, kisha wakaionyesha helkopita ikiwa eneo fulani ambalo naamini ni kituo cha mafuta ikiwa inakunywa mafuta. Baada ya hapo helkopita ya chadema ikaonyeshwa ikitua huko nkinga na mwenyekiti wao akashuka na kuhutubia. Kinyume na walivyo cover hotuba ya ccm, hapa mbowe alipewa muda mreeefu akihutubia kuhusu mambo ya siasa na dini na wakati huohuo tbc1 ikionyesha umati wa watu ambao mbowe alikuwa akihutubia. Baada ya hotuba tbc1 walionyesha helkpita ya chadema ikituka kuondoka eneo la mkutano.
Kwangu mimi naona tbc1 hawakuitendea haki ccm kwa kuipa coverage kidogo sana hasa juu ya helkopita ambayo imegeuka kuwa ni kete ya kisiasa huko igunga. Pia tbc1 hawakumuonyesha mpambanaji magufuli wakati akiunguruma huko igunga.
Na wewe umetumwa na nani? Hizo ni akili mgando. Mbona wenzio wanachangia vizuri tu ila wewe unakimbilia kuwa mtu katumwa!!Acha mawazo mgando.
soma takwimu za tafiti uone tbc na daily news ambazo ni state media zinazoendeshwa na kodi ya nchi zinavyoipendelea magamba. Sasa wewe kutoka ktk single observation ya jana tu umekimbilia kuconclude tbc wanaibeba cdm wakati picha kubwa ni kinyume chake.
Wee umetumwa na magamba. Haya kachukue posho yako kama unalipwa kwa post. Unaweza itenganisha vipi TBC na magamba wakati ni kitu kilekile? Ile TBC si ni idara ya uenezi ya magamba
wanaopiga kura ni watu wa igunga. Kukuonyesha umati hukusaidii kuongeza kura kule. Wananchi wa igunga wanajijua wenyewe kuwa walikuwa wengi au wachache, wazee au vijana, watu wazima au watoto, wanawake au wanaume nk.
coverage hutolewa kutokana na point na sivinginevyo! Kama hauna point waonyeshe hewa?ilikuwa ni aibu kwa ccm maana kulikuwa na watoto na hakukuwepo na watu wa kuonyesha.kumbuka kila tukio lina implication yake ktk mapokeo.tbc waliona ni bora kutoonyesha lolote kwa ccm kwani ilikuwa ni aibu ya karne.kulikuwepo na watoto na vumbi tu.usilete hoja kama za ccm zenye genetic za uwongo na chromosomose za kifisadi.
Jana saa mbili usiku nilikuwa nikiangalia taarifa ya habari ya TBC1 na habari kuu jana ilikuwa ni kutua kwa mahelkopita huko Igunga kwa ajili ya kutumika katika mikutano ya kampeni. TBC1 walionyesha helkopita ya CCM ikitua na Makamba akapokelewa na Mwigulu na watu wengine. Kisha ikaonyeshwa kwa UFUPI SANA Mwigulu akihutubia na kisha makamba akasikika akisema maneno mawili matatu tu basi. Pia TBC1 haikuonyesha UMATI wa watu ambao hao viongozi wa CCM walikuwa wakihutubia!! Kwa kifupi coverage kwa CCM ilikuwa kidogo sana.
Kisha nikashuhudia coverage ya CHADEMA. Walianza kuonyesha helkopita ikiwa angani na maneno CHADEMA yakionekana, kisha wakaionyesha helkopita ikiwa eneo fulani ambalo naamini ni kituo cha mafuta ikiwa inakunywa mafuta. Baada ya hapo helkopita ya CHADEMA ikaonyeshwa ikitua huko Nkinga na Mwenyekiti wao akashuka na kuhutubia. Kinyume na walivyo cover hotuba ya CCM, hapa Mbowe alipewa muda mreeefu akihutubia kuhusu mambo ya siasa na dini na wakati huohuo TBC1 ikionyesha umati wa watu ambao Mbowe alikuwa akihutubia. Baada ya hotuba TBC1 walionyesha helkpita ya CHADEMA ikituka kuondoka eneo la mkutano.
Kwangu mimi naona TBC1 hawakuitendea haki CCM kwa kuipa coverage kidogo sana hasa juu ya helkopita ambayo imegeuka kuwa ni kete ya kisiasa huko Igunga. Pia TBC1 hawakumuonyesha mpambanaji Magufuli wakati akiunguruma huko Igunga.
Mimi sijaongelea utafiti huo uliofanywa sijui na akina nani. Mimi nimesema yaliyojiri jana na facts za jana ndizo hizo. Kwqa maana hiyo unnataka niseme kwa jana TBC1 iliipendelea CHADEMA ila kwa ujumla huwa TBC1 inaipendelea CCM au?
kila siku hbr zao ni za magamba, jana kwa mara ya kwanza ndo nimesikia hbr za cdm, cjackia za cuf.
Kama wmeshindwa kutumia mali za umma kwa kuhabarisha, tutawatoa wote siku umma ukishika hatamu
Siasa nyepesi na za kishamba za kuwakaririsha watu kama makasuku Eti unachukuwa unaweka waaaaah! Hazina nafasi tena ndani ya Taifa hili.