TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

Sio TBC tu Kuna ITV nao cku izi taarifa za ukawa kama sio za mwisho basi hawazitangazi kabisa.

Tbc na clouds lao moja na ccm but itv si kweli wanatangaza sana but kwa sasa naona ule msala wa tcra ndio unawazingua wanafatiliwa kuna habari ilienda ndivyo sivyo so wanatolewa macho sana ila ukiwachunguza wako vizuri tena wanabase kwa lowassa ila clouds wanaogopa hao may be wanaviposho pale
 
Clouds sijui kuna nini toba, ni station yangu naipenda ila wanatakiwa wawe balance. Tbc nimechoka hoi bin taabani , msoma magazeti aliniacha hoi
 
Hakuna ubishi mpaka sasa Luninga ya Taifa TBC inayojiendesha kwa kodi za Watanzania wote inabagua namna ya kutupa habari "walaji" wake.Ni kwa juma zima sasa ktk kipindi cha uchambuzi wa magazeti habari zinazomuhusu Edward Lowassa kama mgombea wa UKAWA zinatupwa kapuni,Mtangazaji anachagua habari za kutusomea na nyingine hasomi kabisaaaaa.

Magazeti yanayoletwa Studio ni Habari Leo,Gazeti Kongwe la Chama cha Mapinduzi la UHURU na kidogo Majira.

ImageUploadedByJamiiForums1439757535.607201.jpg

Kwa mfano ktk Gazeti hili,Habari kubwa ni "Lowassa aweka historia Arusha",lkn huyu dada hasomi hiyo,atasoma hiyo ya mgomo wa madereva.

ImageUploadedByJamiiForums1439757694.533130.jpg

Na huyu dada ndio msomaji wa magazeti kila siku na amekuwa akichakachua habari zote zinazohusu Lowassa na UKAWA,wakati huo huo Clement Mshana akiongea toka Bagamoyo kulipikuwa na Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa TBC alisema,TBC kama chombo cha Umma kitatoa haki sawa kwa kutoa habari kwa vyama vyote vya siasa,na wameshasaini makubaliano ya kutoa haki sawa kwa vyama vyote.

ImageUploadedByJamiiForums1439757872.980705.jpg

Lakini mpaka sasa Dada huyu amekuwa "akinyanyapaa" habari zote zinazomuhusu Eddo na UKAWA.Tunaomba Clement Mshana aondoe upendeleo na kutoa habari kwa haki sawa kwa vyama vyote vya siasa kwa sababu TBC ni mali ya Umma na Watumishi wake wanalipwa mshahara unaotokana na kodi za wananchi wa vyama vyote
 
Ukawa itabidi ifukuze wafanyakazi wote wa TBC kwa hujuma wanayofanya dhidi ya ukawa
 
Wengine tushaifuta hiyo station siku nyingi nashangaa bado mwaiongelea tena
 
nifah njoo uone huyu ndio kamaliza kujiremba na yuko studio.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli...huyu dada ndio msomaji wa magazeti...lkn ni kwanin hasomi habari za Edward na UKAWA?kila siku habari ni za CCM tu..kwanini?
 
Haumtakii mema huyo jamaa mtajwa hapo kwenye rangi nyekundu eh?
Lakini mpaka sasa Dada huyu amekuwa "akinyanyapaa" habari zote zinazomuhusu Eddo na UKAWA.Tunaomba Clement Mshana aondoe upendeleo na kutoa habari kwa haki sawa kwa vyama vyote vya siasa kwa sababu TBC ni mali ya Umma na Watumishi wake wanalipwa mshahara unaotokana na kodi za wananchi wa vyama vyote
Muulizeni Tido.
 
Huyo dada msoma magazeti bora ndo angeuawa na polisi mwangosi abaki.

Mara nyingine tunawasupport wana habari tukiona wanapigania haki zao kumbe sisi haki zetu za kupata habari wanaziminya.

Huyo anafaa kupigwa mawe mtaani anakotoka anadhalilisha taaluma yake kwa njaa na woga
 
Ninaona kuna tofauti kubwa kati ya TBC ya 2010 na ya sasa,ya sasa imekuwa mali ya wachache
 
Ni kweli...huyu dada ndio msomaji wa magazeti...lkn ni kwanin hasomi habari za Edward na UKAWA?kila siku habari ni za CCM tu..kwanini?

Huyo dada ataonewa bure. Hayo ni maagizo kutoka ngazi za juu!!!

USHAURI WA BURE KWA TBC:
Ingekuwa vema wawe na magazeti yatakayoendana na sera yao kama vile UHURU NA HABARILEO. Ili wasituone kuwa wapumbavu tusiojua maana ya habari kuu magazetini ni zipi.

Tunakumbuka MCHAKATO MAJIMBONI ulikwenda na mtu...
 
Hv nyie MNASIKILIZAGA TBCCCM....!!??

Mimi hata sijui watangazaji wake tokea wamfukuze Tido Mhando...

Siwajui hata TBC wanafanyaga nn..!!!
 
Binafsi sina hobby ya kujua majina ya watangazaji wa Telvisio yoyote ile, cause sio interest yangu.Huwa najali Taarifa tu. Ila nilikua naipenda TBC kuliko television yoyote Tanzania. Kiasi kua Mtu akiweka hizo tv nyingine kwa taarifa ya habari tu, mi naondoka sisikilizi. mpaka arudishe TBC. nilikua naiamini TBC kwa kila kitu, pamoja na tuhuma kua inatangaza kwa maslahi ya serikali, sikujali niliona inaufanisi zaidi na imekaa kidijitali. Lakini Baada ya kucheki hii footage ya magazeti wanavyodnganya waziwazi!! OMG!

Aftermath Dah!! leo nimjaribu kuwasikiliza TBC nikaondoa mwenyewe.. Siiamini tena hata nusu.
 
Startimes igomewe ? Ikitilolewa na ukawa basi wataomba msamaha
 
mm naona mtangazaji anatumikia ------ ili apate chake asije akavukuzwa kazi kama tido muhando
 
Leo nadhani yatasomwa magazeti 3 tu ( Habari Leo, Uhuru na Daily News)!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom