TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

Eti habari iliyopewa uzito inapatikana kurasa za ndani, za gazeti husika. Hawa watangazji wa tbc sizani kama wamesomea hiyo kazi, nahisi wamechukuliwa kutoka greenguard ya CCM.
 
Huyu dada anayelipwa kwa kodi za wananchi bado amekaa ameridhika kukaa ofisini huku akipotosha umma kwa kutoa taarifa pungufu wewe unafikiri wananchi walioko vijijini hawaelewi mambo yanaendelea wakati wa mabadiliko ya kisiasa hii ndiyo sababu huwa siangalii TBC 1
 
Tbccm mnajiaibisha ipo siku mtasema habari za kweli lakini hamtaaminika.
 
wamesema ya-kwamba"TBC wanasema na kusoma habari zao kama vile hawajui kama ni shirika LA uma".
Kwa mfano; Habari kubwa iliyopewa kipaumbele IPO ukurasa wa tatu."

====my take=====
vyombo vinvyotumia kodi za wananchi viache kutumika vibaya na kuruhusu isia zao za kichama.wafuate sheria za kimaadili ktk uwendeshaji wa vyombo vya uma
 
Tunawaonea bure TBC1,jamani TIDO MHANDO alifukuzwa sababu tu ya kuwa FAIR kwa upinzani nani anataka kuweka UGALI wake MCHANGA?
 
Hao TBC Kuanzia November watashika adabu zao... Waziri atakayeteuliwa na Lowassa ahakikishe anaanza na hawa TBC
Wanaendesha shirika la uma Kama mali ya Lumumba!!!:A S-frusty: haiweekani hiii kitu, CCM waanzishe TV yao au tuwaachie tujue kabisa hatuna tv ya taifa
 
pale tbc kuna vizabina tu.....ndio maana tv yenyewe haina watazamaji...nani anataka fiksi...watu wanataka ukweli.
 
Clouds ni na Uhuru FM ni Radio za CCM iweje leo waikosoe TBC1? Labda walikuwa wanaigiza tu.
 
clement mshana na ccm havitenganishiki hawa watangazaji msiwalaumu bure
 
Hando ana akili sana sio kama boss wao Ruge aliyewekwa mfukoni na January Makamba
 
Clouds ni na Uhuru FM ni Radio za CCM iweje leo waikosoe TBC1? Labda walikuwa wanaigiza tu.

Kwa sababu TBC ni mali ya uma. inatakiwa ibalance habari kwa maslahi ya uma. clouds ni mali ya mtu binafsi, inaweza ikaamua kufungamana na upande mmoja.
 
Tunawaonea bure TBC1,jamani TIDO MHANDO alifukuzwa sababu tu ya kuwa FAIR kwa upinzani nani anataka kuweka UGALI wake MCHANGA?

Ni kodi zetu wanazitumia.
Tuna haki ya kuhoji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom