TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

Iakini uzuri tunajionea wenyewe live na WhatsApp zetu zinatosha kutupa habari
 
Binafc sina mda wa kusikiliza au kuangalia TBC, wananiudh kutumia jina la taifa wakat ni chombo cha CCM.
 
Kesho TCRA wasipotoa maelezo ya maana ntawalaani sana. Natoa muda hadi jioni kesho wawe wametoa maelezo
 
chukueni hiyo video muwatag kina Mungy wa TCRA kule facebook
 
TCRA kama wapo kimaadili TBC wanapaswa kupewa onyo kwa hujuma ya wazi dhidi ya ukawa na mh Lowassa na mashabiki na wapenxi wa habari. Kitendo vha kuruka habari za ukawa ni kosa la kimaadili kwa chombo cha umma
 
Wana JF,

Ni kwa kawaida ya serikali kufanya mabadiliko au kuwafukuza wafanyazi wake wenye weledi pindi wakionyesha weledi wao katika kazi kwa ubora wao, lakini huku wanakumbana na shinikizo nyingi kutoka serikalini, kama vile kupindisha habari, kukuza habari zisizo habari na kudanganya ikitokea , watangazaji, wanahabari waratibu wa habari huwa wana wakati mgumu wa kufukuzwa kazi kipindi cha uchaguzi ikiwa wataenda tofauti na maelekezo ya kutoka kitengo.

My Take.
Hatujui safari hii watamfukuza nani maana lowasa ndio katawala media, huku nyuma yake wakuu wa nchi wakisema huo ni moto wa mabua utazima, tu, hayo ni makapi yatakauka tu.

Hivi wahariri wa gazeti hilo la Majira watakaa kimya kwa upotoshaji huo wakati wao wanajua leading story ni Mafuriko Mbeya lakini mtangazaji anatangaza kitu tofauti? Je hawawezi kufikiria kwamba huenda kuna watu wanalichapisha gazeti hilo nje ya mfumo wao to serve their interest? Ikiwa mhariri wa Majira aliona leading story hiyo itauza gazeti lakini haijasomwa , je hilo halijaathiri mapato ya siku ya gazeti hizo na kusababisha return kuwa kubwa kwa sababu tu mtu mmoja kwa sababu anazozijua yeye ameamua kuipuuza taaluma yake? TCRA mpo?
 
Wana JF,

Ni kwa kawaida ya serikali kufanya mabadiliko au kuwafukuza wafanyazi wake wenye weledi pindi wakionyesha weledi wao katika kazi kwa ubora wao, lakini huku wanakumbana na shinikizo nyingi kutoka serikalini, kama vile kupindisha habari, kukuza habari zisizo habari na kudanganya ikitokea , watangazaji, wanahabari waratibu wa habari huwa wana wakati mgumu wa kufukuzwa kazi kipindi cha uchaguzi ikiwa wataenda tofauti na maelekezo ya kutoka kitengo.

My Take.
Hatujui safari hii watamfukuza nani maana lowasa ndio katawala media, huku nyuma yake wakuu wa nchi wakisema huo ni moto wa mabua utazima, tu, hayo ni makapi yatakauka tu.

Hivi wahariri wa gazeti hilo la Majira watakaa kimya kwa upotoshaji huo wakati wao wanajua leading story ni Mafuriko Mbeya lakini mtangazaji anatangaza kitu tofauti? Je hawawezi kufikiria kwamba huenda kuna watu wanalichapisha gazeti hilo nje ya mfumo wao to serve their interest? Ikiwa mhariri wa Majira aliona leading story hiyo itauza gazeti lakini haijasomwa , je hilo halijaathiri mapato ya siku ya gazeti hilo na kusababisha return kuwa kubwa kwa sababu tu mtu mmoja kwa sababu anazozijua yeye ameamua kuipuuza taaluma yake? TCRA mpo?
 
TBC itapata tabu sana mwaka iuu,na bahati mbaya husoma front page tu.sasa unakuta page nzima ni mafuriko
 
kwanza nawapeni pole wale wote wanaoangalia tbs, #pili hamna wa kufukuzwa safari hii kwani matakwa ya ccm yanatekelezwa ipasavyo.
 
Nilikuwa naangalia kipindi cha magazeti ya jana kwenye internet, mtangazaji wa kike wa TBC alikuwa anasoma maandishi madogo yenye habari za kuikandia CHADEMA Lakini maandishi makubwa yenye kusifia CHADEMA alikuwa hasomi japo yalikuwa yanaonekana.

Hivi kodi za CCM au za wananchi, zipi zinaendesha hii televisheni? Na je nyie wananchi mnachukua jitihada gani kukomesha hili?
 
Mwandishi mwenye elimu yake huwezi kumkuta huko. Wanaokota okota makanjanja toka ofisi za ccm ndio wanayapa kazi za kusoma habari.
 
Sio TBC tu Kuna ITV nao cku izi taarifa za ukawa kama sio za mwisho basi hawazitangazi kabisa.
 
Mfumo mzima wa siasa za hapa TZ haziko huru kabisa ktk kila kona ya vyombo vya umma si Polisi,si JWTZ si Mahakama, vyombo vya habari si vya umma tu hata vya binafsi viko nawoga flani hivi hawako huru.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom