Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,892
Na nyie mmezidi mno UCHOKOZI, tbc? labda kama habari za michezo na kimataifa but sio habari za nyumbani!
Habari wana JF,
Naanza na swali: Je, ni halali kwa televisheni ya taifa (TBC) kutangaza habari kwa kupotosha?
Hii imetokea leo katika uchambuzi wa magazeti kwani mtangazaji aliyekuwa akisoma magazeti anasoma habari ambayo haikupewa uzito wa juu na kuiacha kabisa habari iliyopewa uzito wa juu kisa inamzungumzia Lowassa. Je, huku si kukiuka kanuni za huduma ya utangazaji (maudhui) ya mwaka 2005?
Tizama mwenyewe hapa:
Kanuni ya 6(2) inasomeka hivi: Kila mwenye leseni ni lazima ahakikishe anatoa taarifa kwa usahihi na uhakika; anaripoti habari bila upendeleo na kuzingatia mizani, bila kukusudia au kuondoka katika ukweli, ama kwa kuvuruga au kwa kutoa taarifa zisizo sahihi.
Ni majuzi tu Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imekichukulia hatua za kinidhamu kituo cha ITV kwa kuripoti habari zisizo na uhakika.
Hivyo kwa kuwa sharia ni msumeno basi na TBC nayo iadhibiwe kwa hili. La sivyo tutakuwa tuna double standards.
Naomba kuwasilisha.
Kuna nchi siikumbuki vizuri.Wananchi walivamia kituo cha radio cha serikali kama ilivyo Tbc wakatembeza kipigo.Please tbc naomba mjirekebishe isije ikatokea wananchi wenye hasira na matumizi mabaya ya chombo chao wakawatembezea kichapo!Ni mtazamo tu!
Msimlaume dadaa msomaji wa watu,alikua tu anafata maelekezo kutoka mamlaka za juu.
tcra waliiona kyela fm tu kwa tbc wamejikausha kau ! ndio maana tv yao imebaki kuonyesha picha za hitma na arobaini baasi , Poor TBC 1 ! mtavuna mlichopanda .
dah kwel tbccm hovyooo,,ss cjui msomaji alkua hajui km kamera inamulika pale
Huyu aliyekuwa anachukua video hana kazi