Habari wana JF,
Naanza na swali: Je, ni halali kwa televisheni ya taifa (TBC) kutangaza habari kwa kupotosha?
Hii imetokea leo katika uchambuzi wa magazeti kwani mtangazaji aliyekuwa akisoma magazeti anasoma habari ambayo haikupewa uzito wa juu na kuiacha kabisa habari iliyopewa uzito wa juu kisa inamzungumzia Lowassa. Je, huku si kukiuka kanuni za huduma ya utangazaji (maudhui) ya mwaka 2005?
Tizama mwenyewe hapa:
Kanuni ya 6(2) inasomeka hivi: Kila mwenye leseni ni lazima ahakikishe anatoa taarifa kwa usahihi na uhakika; anaripoti habari bila upendeleo na kuzingatia mizani, bila kukusudia au kuondoka katika ukweli, ama kwa kuvuruga au kwa kutoa taarifa zisizo sahihi.
Ni majuzi tu Mamlaka ya Mawasiliano TCRA imekichukulia hatua za kinidhamu kituo cha ITV kwa kuripoti habari zisizo na uhakika.
Hivyo kwa kuwa sharia ni msumeno basi na TBC nayo iadhibiwe kwa hili. La sivyo tutakuwa tuna double standards.
Naomba kuwasilisha.

HII NI TELEVISION YA TAIFA NA INAENDESHWA KWA KODI ZA WATANZANIA.. SASA INAKUWAJE INATUMIKA NA CCM??? HAYA NI MATUMIZI MABAYA YA VYOMBO VYA UMMA..
TUNAKATWA KODI KILA KUKICHA PESA YETU INAKWENDA KWEYE UPUUZIIII .HII TV BORA IFUTWEEEE NA JINA LIBADILISHWE.... MAANA ISHAKUWA NUKSI SASA....
:A S confused::A S confused: