Nataman kesho magezet yote yawa na kichwa kimoja cha hbr kurasa za mbele na vijitangazo vidogo kurasa za mbele tuwaone sasa watasoma matangazo au itakuwaje??
Kama hampendi kaleni malimao jmn
Halafu hivi ni kweli TBC hawajui wanachohutawasikilizaji wao? Inakuwaje gazeti linalosomwa na watu went I kama MWANANCHI hawalusomi? Huwa wemekuwa wakisoma magazeti machache mno nadhani ingekuwa bora kama wangeacha kabisa. Eti halafu wanatumia lugha magazeti yaliyotufikia!
Nina mwaka mzima sijawahi kuangalia Taarifa ya habari ya TBC1, maana habari zao mara nyingi ni za kikoloni mno yaani zinazochuja mabaya ya serikali na kubuni mazuri.
Hiki hakiwezi kuwa chombo cha habari na sijui wanaoangalia wakoje au ndio hawa ambao hawajui kuwa viongozi wa serikali ni wala rushwa na mafisadi wa kutupwa.
Tido mandão alifukuzwa kazi kwa kuwa fair on elections za 2010 ,Je unadhani nani anataka kufukuzwa kazi kipindi hiki,ukizingatia Serikali Imefeli kukuza uchumi,Ajira Hamna so hiyo ya TBC imekuwa ajira Lulu hamna mtangazaji wa TBC atakayetoa taarifa za UKAWA
Naitetea TBC hivi :ile ni television, siyo redio. Kwenye television tunaona na kusikia. Yaani tunapata habari kwa njia ya kuona na kwa njia ya kusikiliza kwa wakati huo huo tofauti na redio ambapotunapata hhabari kwa kusikiliza tu. Kama mtangazaji kasoma kichwa cha habari ambacho hakijapewa uzito wa juu basimmtangazaji huyo anastahili pongezi kwani amejua kichwa cha habari kikuu cha gazeti husika ni rahisi kuonekana kwa watazamaji hivyo bora ajikite kwenye Kichwa cha habari ambacho hakijapewa uzito wa juu na ambacho kinaweza kuwa nishida kuonekana kwa watazamaji.
Kama TBC ingekuwa ni redio basi hukumu yangu ingekuwa tofauti kabisa.
After october kutakua na major overhaul kwenye mashirika ya uma kama haya,haswa ili la tbc,aibu hii,mkurugenzi umeabishwa na raisi mumemuaibisha,viva ukawa,
Nadhani TBC wasilaumiwe hapa. Wanatuma meseji kwa watazamaji. Walijua kuwa vichwa vya magazeti vinaonekana na wao hawavidomi kama vilivyo. Hawajafanya makosa kwa hilo. Nina mashaka wengi humu hawajasoma fasihi. Itabidi mtafsiri zaidi ya kusikiliza maneno ya mtangazaji. Mimi ningekuwa afisa wa serikali ningemwajibisha msomaji. Kuna ujumbe anatuma kijanja. Kazi kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.