umenikumbusha mbali hata sita walichachua kwa kuruhusu upinzani kusababisha wapangue baraza la mawaziri mara kadhaa, Richmond na EPA zilishika kasi.Walimchakachua samweli sitta kwa kusema aliwaruhusu wapinzani bungeni...
Tiddo nae akachakachuliwa
Sasa hivi watamfukuza nape na kikwete mwenyewe