Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,205
- 138,588
Natazama mpira huku nasikiliza redio,ni kwa ajili ya kupata kashata za Kashasha. Fundi mpaka namuonea wivu
Dauda hana hadhi hata ya kuchambua redeHao wachumia tumbo tu
Kashasha.. Sio nshomile?! Maana kwa ujuvi?! Htr.. Ana opinion kwa kila jambo analoulizwa.
Nani tena anamlinganisha Mwalimu Kashasha na mambo ya kijinga?!Dauda hana hadhi hata ya kuchambua rede