Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni... hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu hakuna kama TBC, toka kipindi cha kina Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Jongo, Eziekel Malongo mpaka sasa kipindi cha kina Jesse John, Enock bwigane na Chacha Maginga hakika TBC wameonyesha ukomavu wa hali ya juu...
Bila kusahau mbwembwe za mwl Kashasha unaweza zima tv ukahamia kwenye matangazo ya radio
Kwako Jesse
Bila kusahau mbwembwe za mwl Kashasha unaweza zima tv ukahamia kwenye matangazo ya radio
Kwako Jesse