TBC taifa na matangazo ya mpira(Kashasha)

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,617
38,586
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni... hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu hakuna kama TBC, toka kipindi cha kina Juma Nkamia, Swedi Mwinyi, Ahmed Jongo, Eziekel Malongo mpaka sasa kipindi cha kina Jesse John, Enock bwigane na Chacha Maginga hakika TBC wameonyesha ukomavu wa hali ya juu...

Bila kusahau mbwembwe za mwl Kashasha unaweza zima tv ukahamia kwenye matangazo ya radio

Kwako Jesse
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...hakika kwa matangazo ya mpira wa miguu hakuna kama tbc, toka kipindi cha kina juma nkamia,swedi mwinyi,ahmed jongo,eziekel malongo mpaka sasa kipindi cha kina jesse john,enock bwigane na chacha maginga hakika tbc wameonyesha ukomavu wa hali ya juu...

Bila kusahau mbwembwe za mwl kashasha unaweza zima tv ukahamia kwenye matangazo ya radio

Kwako jesse
Kipindi kingine kizuri TBC NI AKILI CHA WATOTO WADOGO !!! vingine bado sana inabidi wakaze misuri
 
Wanajitahidi tatizo ni usikivu na ubora wa matangazo yaan ukickiliza radio one na ukija kusikiliza tbc kwa tbc inabidii uweke radio masikioni ili upate uondo vizuri
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom