hapa kwangu kwa siku 5 sipati Star Tv na TBC kupitia dish wamekuwaje? au ni Receiver yangu?
wenye kujua waseme jamani
hapa kwangu kwa siku 5 sipati Star Tv na TBC kupitia dish wamekuwaje? au ni Receiver yangu?
wenye kujua waseme jamani
matatizo ya kupenda vya bure. mimi wala
Sie huku Kigoma ndio vumbi tupui
Unaaminini sattelite ni za bure?
Mimi sipati TBC1 na Star Tv wiki moja sasa huku Mbeya. Hata ATN inataka inikoseshe Champions League kesho