pmwasyoke
Platinum Member
- May 27, 2010
- 5,023
- 3,890
Bila shaka watangazaji wa tbc watakuwa si raia wa tz ndo maana hawana uchungu na nchi yetu wangekuwa real tanzanians wangekuwa wame_resign nafasi zao kwa maslahi ya taifa
Halafu watakula nini?
Bila shaka watangazaji wa tbc watakuwa si raia wa tz ndo maana hawana uchungu na nchi yetu wangekuwa real tanzanians wangekuwa wame_resign nafasi zao kwa maslahi ya taifa
Mkuu Paulin, interview za kupima reaction ya issue yoyote zinaitwa "live impromptu vox populi!", hakuna any pre arrangement ya ni nani anahojiwa!, hakuna preparation wala head hunting ya wamtafute nani!, its first come, first served!, imetokea coincidence, wote ni CCM!.
Ingekuwa sio live, bali ni pre recorded, then you would have been right, kuwa TBC wamewachagua CCM tuu kuwahoji!.
Sometimes tunailaum TBC, for no apparent justified reasons!, ni kulalamika tuu ali mradi kulalamika!.
Sometimea lets be a bit fair or just a little understanding!.
Pasco
Wakati mwingine hata wahajatumwa ila ni tabia za watumishi wengi sasa hivi ni kujipendekeza kwa uongozi wa CCM!! Yaani ni wajinga kweli... Jitu utakuta linajipendekeza kwa CCM huku hali yake mbaya, kutwa kulialia shida na kukopa hovyo!!
Baada ya kuangalia tarifa ya habari Leo saa mbli ya TBC sasa ni dhahiri kabisa inaelekea kule lilipo gazeti la Uhuru, Nina maana ya kutokuwa na wateja kabisa. Najua wote mnaelewa Kuwa gazeti la Uhuru sasa hivi haliuziki kabisa labda chembe ya mauzo wanayopata ni taasisi za serikali. mawakala, wauzaji rejareja na wasafirishaji hawataki hata kuyaona. Reporting ya Leo ya TBC katika taarifa ya habari inayoendelea sasa hivi na hata wakati wanahitimisha live ufunguzi wa bunge maalum la katiba ni dhahiri inaelekea kule kule iliko fia gazeti la Uhuru kwa sababu zilezile za biased reporting. Waliohojiwa kwa comments ya Kikwete speech wote ni wabunge wa CCM. Sio Siri kwamba kwa kizazi cha sasa hivi zaidi ya 80% watazamaji, wasikilizaji na wasomaji ni Watu wanaopenda habari za mageuzi na sio mawazo mgando ya CCM. Kwaheri TBC na sasa mtegemee ruzuku tu.
Paulina nilidhan ww ni binti mwenye akili kiasi kwamba ningeweza kukuoa ili nikuepushe kufanywa kimada ndani ya chagadema, ila nimegairi. TBC haiwezi kuwa kama unavyofikiria na akili yako mgando.
Wee Rajabs ongelea mada husika acha matusi, kama wewe unataka kuolewa sema maana JK kesharuhusu watu kama nyie kupindwa ni halali ila bado tu hajasaini kwa wakubwa
ukweli ushakuingia
mbowe alishawakataza msiitizame, nashangaa bado mnaendelea.
ww vichupi ntakupekenyua mpaka umuite mama yako nimpekenyue. Kama inakuuma acha kuikalia toka wenzako wa chagadema waikalie. Jitu zima shoga. Tena ushoga umeuanzia uzeeni tofauti na kilema alieuanzia utotoni.
paulina nilidhan ww ni binti mwenye akili kiasi kwamba ningeweza kukuoa ili nikuepushe kufanywa kimada ndani ya chagadema, ila nimegairi. Tbc haiwezi kuwa kama unavyofikiria na akili yako mgando.
kwanini utumie lugha chafu kama hii, jiamini kuwa unaweza japo uwezo wa kufikiria ni mdogo!
lumumba's stuuup .idyyy thinking capacity!
kijana huwasishawishiki kwa hoja dhaifu hata siku moja?
Jenga hoja uelewekeke kijna!
Usitetee wizi unaofanywa kwa kodi zetu.