Mtangazaji, mmoja ndugu yangu pale TBC anakuambia ukionekana unataka kuripoti kama CNN; siku hiyo utapewa barua ya likizo pamoja na marupurupu, ukirudi nafasi yako imejazwa. Mshana is useless
Ni kawaida kwa chombo chochote cha habari kinachomilikiwa na Serikali kuiunga serikali iliyopo madarakani mkono, lakini kwa TBC ni zaidi ya kuunga mkono na badala yake inafanya kazi ya kujikomba kwa chama tawala kwani kuwa bosi katika chombo hicho wakati mwingine ni njia ya kupatia madaraka ya kisisa. Kwa sasa hivi kuangalia TBC kun akinaisha kwani inawafananisha watazamaji wake na watoto wadogo au mapunguani wasioweza kulinganisha mambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.