TBC sasa inaelekea iliko gazeti la Uhuru

TBC sasa inaelekea iliko gazeti la Uhuru

Baada ya kuangalia tarifa ya habari Leo saa mbli ya TBC sasa ni dhahiri kabisa inaelekea kule lilipo gazeti la Uhuru, Nina maana ya kutokuwa na wateja kabisa. Najua wote mnaelewa Kuwa gazeti la Uhuru sasa hivi haliuziki kabisa labda chembe ya mauzo wanayopata ni taasisi za serikali. mawakala, wauzaji rejareja na wasafirishaji hawataki hata kuyaona. Reporting ya Leo ya TBC katika taarifa ya habari inayoendelea sasa hivi na hata wakati wanahitimisha live ufunguzi wa bunge maalum la katiba ni dhahiri inaelekea kule kule iliko fia gazeti la Uhuru kwa sababu zilezile za biased reporting. Waliohojiwa kwa comments ya Kikwete speech wote ni wabunge wa CCM. Sio Siri kwamba kwa kizazi cha sasa hivi zaidi ya 80% watazamaji, wasikilizaji na wasomaji ni Watu wanaopenda habari za mageuzi na sio mawazo mgando ya CCM. Kwaheri TBC na sasa mtegemee ruzuku tu.
Mkuu Paulin, interview za kupima reaction ya issue yoyote zinaitwa "live impromptu vox populi!", hakuna any pre arrangement ya ni nani anahojiwa!, hakuna preparation wala head hunting ya wamtafute nani!, its first come, first served!, imetokea coincidence, wote ni CCM!.

Ingekuwa sio live, bali ni pre recorded, then you would have been right, kuwa TBC wamewachagua CCM tuu kuwahoji!.

Sometimes tunailaum TBC, for no apparent justified reasons!, ni kulalamika tuu ali mradi kulalamika!.

Sometimea lets be a bit fair or just a little understanding!.
Pasco
 
afadhali kipindi kile ikiitwa TVT, TBC ya ukweli iliondoka na Tido, Sasa ni TBComedy (yaani television ya vichekesho Tanzania)
 
jamaa nasikia wewe gangwe kishenzi umeshakunywa mkojo wa nape mala nyingi.

Hivi matusi haya yote yanatoka wapi?

TBC1 na Nape wapi na wapi?

TBC1 ni channel pekee yenye viwango vya juu
 
Nadhani hata wanaopeleka matangazo ya biashara zao tbc1 soon watakosa wateja coz ni wachache sana wanaoangalia, hata comedy yao haina soko kabisa.
 
TBC1 ni television pekee inayoongoza Africa ya mashariki na kati

maskini tido mhando.....teh teh......yani mageuzi aliyoyaleta TBC kaondoka nayo. TBC utazani SWAPO Korea ya kaskazini. hwajui kama nyerere alisha kufa, wala kama mfumo wa chama kimoja haupo tena. too local and detached from citizens.
 
mbona tayari imekufa ! Kipindi cha CHEREKO sasa hivi ni bure kabisa ! YAANI KIINGILIO NI MGUU WAKO ! kuna tetesi next week wanaanzisha KIPINDI CHA KUTAFUTA WACHUMBA ili kujaribu kuongeza watazamaji ! Very poor !
 
Baada ya kuangalia tarifa ya habari Leo saa mbli ya TBC sasa ni dhahiri kabisa inaelekea kule lilipo gazeti la Uhuru, Nina maana ya kutokuwa na wateja kabisa. Najua wote mnaelewa Kuwa gazeti la Uhuru sasa hivi haliuziki kabisa labda chembe ya mauzo wanayopata ni taasisi za serikali. mawakala, wauzaji rejareja na wasafirishaji hawataki hata kuyaona. Reporting ya Leo ya TBC katika taarifa ya habari inayoendelea sasa hivi na hata wakati wanahitimisha live ufunguzi wa bunge maalum la katiba ni dhahiri inaelekea kule kule iliko fia gazeti la Uhuru kwa sababu zilezile za biased reporting. Waliohojiwa kwa comments ya Kikwete speech wote ni wabunge wa CCM. Sio Siri kwamba kwa kizazi cha sasa hivi zaidi ya 80% watazamaji, wasikilizaji na wasomaji ni Watu wanaopenda habari za mageuzi na sio mawazo mgando ya CCM. Kwaheri TBC na sasa mtegemee ruzuku tu.

juzi NILITUPA CHAPATI , ZILIKUWA ZIMEFUNGWA KWA GAZETI LA UHURU , NILIHISI KAMA NIKIZILA NTAHARISHA VIBAYA SANA , KUMILIKI GAZETI LA UHURU OFISINI KWAKO NI SAWA NA KUFUGA MAJINI !
 
S
Sijui kama wafanyakazi wa TBC ni watu wenye uwezo wa kuhoji na kutambua.Toka wamfukuze Tido sijui kama bado wapo hewani
 
..mbona hiyo TV,ilishajifia muda tu,hata MAGAMBA wote wanalijua hilo!
 
Mimi kwenye king'amuzi changu TBCCM nilishai block
 
Bila shaka watangazaji wa tbc watakuwa si raia wa tz ndo maana hawana uchungu na nchi yetu wangekuwa real tanzanians wangekuwa wame_resign nafasi zao kwa maslahi ya taifa
 
Back
Top Bottom