TBC sasa inaelekea iliko gazeti la Uhuru

TBC sasa inaelekea iliko gazeti la Uhuru

kumbe TBC inaonesha?mi nlijua imeshafutwa miaka ming? hii dunia hii....mambo muhimu tunaua mambo ya kipuuzi tunadumisha.kma mpka leo TBCCM bado inatangaza then obvious inatangaza mambo ya ccm.
 
Baada ya Uchaguzi wa 2015, TBC itafungwa na kuwapa Likizo bila malipo wafanyakazi wote na kuanza kutafuta timu mpya ya kuendesha chombo hiki kwani CCM haitakuwepo tena. Yaani hata walinzi wake hawafai kuendelea kuwepo
 
TBC haina tofauti na ZBC kule Zanzibar, labda itokezee bahati mbaya sn umkute mzanzibar anaangalia TV ya Zanzibar na sasa na hii TBC me nimeiacha kitambo kwanza siko interested na vipindi vyao, then UCCM umepitiliza automatically nakuwa naachana nayo
 
Huyo gabliel zakaria kiukweli hajui kutangaza runinga hasa habari.
 
Mtoa mada nikuulize,kuna tv station hapa nchini kinaitwa tbc?
Kwakweli nilisha kifuta hata kwenye utaratibu wangu wa kuangalia chaneli katika maisha yangu yote.
Makamanda wote na wapenda haki nchini wanaangaliaga 'itv' tu!
 
Tbcccm dah!
Inanipa hasira mbayaaa yaani wanakula kodi zetu!
 
Mtoa mada nikuulize,kuna tv station hapa nchini kinaitwa tbc?
Kwakweli nilisha kifuta hata kwenye utaratibu wangu wa kuangalia chaneli katika maisha yangu yote.
Makamanda wote na wapenda haki nchini wanaangaliaga 'itv' tu!


Usipoiangalia wewe inapungukiwa nini?

Makamanda mnaangalia ITV kwakuwa ya ndugu yenu tuu
 
usipoiangalia wewe inapungukiwa nini?

Makamanda mnaangalia itv kwakuwa ya ndugu yenu tuu

mengi ni mtanzania mzalendo wa kabila la kichaga.
Mimi ni mgogo wa mvumi dodoma kuna uhusiano gani?
Au mnataka ukweli usisemwe?.
'tbcccm ni kituo cha watoto wa mafisadi'
 
mengi ni mtanzania mzalendo wa kabila la kichaga.
Mimi ni mgogo wa mvumi dodoma kuna uhusiano gani?
Au mnataka ukweli usisemwe?.
'tbcccm ni kituo cha watoto wa mafisadi'

Ukweli ushakuingia
 
Mkuu Paulin, interview za kupima reaction ya issue yoyote zinaitwa "live impromptu vox populi!", hakuna any pre arrangement ya ni nani anahojiwa!, hakuna preparation wala head hunting ya wamtafute nani!, its first come, first served!, imetokea coincidence, wote ni CCM!.

Ingekuwa sio live, bali ni pre recorded, then you would have been right, kuwa TBC wamewachagua CCM tuu kuwahoji!.

Sometimes tunailaum TBC, for no apparent justified reasons!, ni kulalamika tuu ali mradi kulalamika!.

Sometimea lets be a bit fair or just a little understanding!.
Pasco

Aaaaa,kumbe ITV Wao hiyo" pre arrangement" wanayo? kumbe ITV Watangazaji na wandishi hua hawaonyeshi LIVE? Kumbe ITV Wao hawana first come ,First served?
Umejitahidi kuitetea TBC Ila Wananchi siku hizi wanaitazama wakati wa Bunge tu,huyu leo alieanzisha uzi inaonesha ni mgeni hapa Tanzania ana mda mrefu hayupo na hajui vizuri kuhusu matangazo ya TBC ni yapi.
 
Slaa njoo humu uwatolee matamko kuna watu wamekaidi agizo lako bado wanatazama TBC, njoo Dokta uwakemee na ikibidi utangaze kuwasusa nawao
 
Pole sana mkuu wewe bado unaangalia TBCCM wenzio tulishaama zamani,bora ukaangalia channel za katuni kuliko kiliangalia hili lidude.Nadhani watendaji wake woten ni mbumbu hawana weledi hata kidogo.
 
Aaaaa,kumbe ITV Wao hiyo" pre arrangement" wanayo? kumbe ITV Watangazaji na wandishi hua hawaonyeshi LIVE? Kumbe ITV Wao hawana first come ,First served?
Umejitahidi kuitetea TBC Ila Wananchi siku hizi wanaitazama wakati wa Bunge tu,huyu leo alieanzisha uzi inaonesha ni mgeni hapa Tanzania ana mda mrefu hayupo na hajui vizuri kuhusu matangazo ya TBC ni yapi.
Tofautisha live na recorded!, pia nakuomba usiilinganishe ITV na TBC, japo vyote ni vituo vya TV ila ni vitu viwili tofauti!.
Tofauti kubwa kati ya wawili hawa, mmoja ni kuku wa kienyeji, straggling to survive na mwingine ni kuku wa kizungu, kula kula!, tena kwa kodi yangu, yako, na yake!, hivyo nakubali he should be the best kwa sababu he has everthing!.
Pasco
 
nilivoona anahoji maccm nkahamisha station fasta,.maccm kazi kusifia2 ht km jk angejamba bdo yangegonga meza na mimama ingepga vgelegele
 
Back
Top Bottom