Inasikitisha,hakuna aliye msafi imenenwa usitazame kibanzi ktk jicho la mwenzako ukasahau boriti ktk jicho lako ama walisema pia kila mchimba kisima nae hutumbukia. Pole Muro kama ni kweli wala rushwa nchi hii si polisi wa trafiki pekee wakubwa alikua hawaoni au walikua wanamkatia kitu kidogo ?
kukamatwa kwa jerry ni honi kwa waandishi wenye tabia kama hizo kinachotakiwa ni kubadilika kwani waandishi mara nyingi hawapendi kuangalia upande wa pili wanachojali ni kuanika kashfa za wenzao tu na wao hawazioni zao sasa jerry ameanza wapo wengi watakaofuatia
i dn't believe thiskukamatwa kwa jerry ni honi kwa waandishi wenye tabia kama hizo kinachotakiwa ni kubadilika kwani waandishi mara nyingi hawapendi kuangalia upande wa pili wanachojali ni kuanika kashfa za wenzao tu na wao hawazioni zao sasa jerry ameanza wapo wengi watakaofuatia
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.
Jerry mwenyewe kazungumza live Channel Ten, kasema there is nothing kama hicho, alikuwa polisi katika muendelezo wa mashirikiano na jeshi hilo ndio maana yuko huru na hajatiwa korokoroni.
vyanzo vyetu jijini dar, vimethiitisha kwamba, mtangazaji wa tbc jerry muro (pichani) anashikiliwa na polisi katika kituo cha kati jijini dar kwa kile kinachodaiwa kunaswa katika mtego wa kupokea rushwa toka kwa mwananchi mmoja wa jijini.
medani za kipolisi zimethibitisha kwamba jerry muro, ambaye ni mtuzwa wa mwandishi bora wa tv kwa mwaka 2009, amekamatwa leo jijini akipokea shilingi milioni 10 kabla mtego aliowekewa haujafyatuka.
kamanda wa polisi wa kanda maalumu ya dar afande selemani kova anatarajiwa kutoa taarifa kamili wakati wowote kuanzia sasa na globu ya jamii itawaletea pindi habari mpya zitapoingia.